Header Ads

Ajari mbaya ya tokea eneo la kimara stop over

BREAKING NEWS:
Ajali mbaya sana imetokea dk 30 zilizopita eneo la stop over gereji-kimara! Basi la kutokea dodoma limegongana na lori la cement, basi likawaka moto, watu waliotoka ktk basi hawazidi 20 waliobaki wameungulia humo humo!

Tazama video ya ajili hiyo hapa

Pia, eneo ilo ilo, usku wa leo wamekufa vijana wawili! Inasemekana Vijana hao walikuawa wamelewa wakiendesha gari kwa kuyumba, baada ya askari kuona mwendo wa gari lao haulewek wakaanza kuwafukuzia, vijana wakaongeza mwendo kuwakimbia askari, kwa bahati mbaya kufika eneo la stop over gereji, kulikua na lori limeharibika bas wakaingia chini ya hilo lori na hapo ndo ukawa mwisho wa maisha yao.....
Taarifa kamili inatolewa na vyombo husika
Ahsante

No comments

Powered by Blogger.