Header Ads

Mambo ya steam boy


*Steam Boy* alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake....
Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake.
Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisa chumbani kwake....
Akanyata taratibua akafungua mlango akazama chumbani kwa mjomba ake bila kujua, ghafla umeme ukarudi...

*MJOMBA;* We mshenzi umefata nini chumbani kwangu tena uko uchi
*Steam Boy*; Nimekuja kukuaga kesho naondoka
*MJOMBA;* Ndo uje uchi?
*Steam Boy*; Ndio kwasababu nimeshapaki kila kitu kwenye begi, na nadamka Sana.

No comments

Powered by Blogger.