Header Ads

Sababu za kutokwa na damu puani na Tiba yake

KWA WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA KUTOKWA NA DAMU PUA

Kutokwa na damu puani ni jambo la kawaida sana kwa kila mtu na mara nyingi huwa sio hatari sana isipokuwa kama linaambatana na dalili nyingine hatari. Tatizo ili huweza kusababishwa na kuumia ndani au nje ya pua, kuchokonoa pua mara kwa mara, shinikizo la damu, matumizi dawa za aspirini, ukosefu wa vitamini K, pombe kupita kiasi, na mabadiliko ya hormoni kwa wajawazito.

TIBA YAKE
1. Simama wima na inamisha kichwa kwa mbele, kusimama itakusaidi kupunguza kasi na presha   katika mishipa ya damu puani wakati unapoinamisha kichwa kwa mbele huzuia kumeza damu ambayo italeta shida tumboni.
2. Weka pamba au kitambaa chenye uwezo wa kufyonza damu nje ya pua na bana pua kwa muda wa dakika 15 huku ukitumia mdomo kupumua, kubana pua hurudisha damu katika mishipa ya pua na kuzuia kuvuja.
3. Kuzuia damu isitoke tena usichokonoe pua wala kuinamisha kichwa mbele kwa nguvu na kwa muda mrefu.
4. Kama damu inaendelea kutoka bana pua kwa kutumia kitambaa chenye ubaridi au barafu itasaidia kusinyaa kwa mishipa ya damu na kuzuia damu.
5. Nenda hosipitali kama damu puani inatokana na kuumia kichwani, haijakata kwa muda wa dakika 20 na kama pua imeumia au kuvunjika

 Post Comments (Atom)

Popular Posts

DALILI NA MATIBABU YA MINYOO

 Mnyoo ni aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya Binadamu na anasababisha ugonjwa wa minyoo.  Inakadiriwa kwamba karibu...

FAHAMU KUHUSU KUVIMBA KWA BANDAMA(Splenomegaly)

Maambukizi na magonjwa mengi kwa muda mrefu husabisha kuvimba kwa bandama(spleen)  ambayo iko kushoto mwa tumbo na hivyo kuharibu utendaji...

KAMA UNASUMBULIWA NA KICHOMI.

VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na ...

KWA WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA KUTOKWA NA DAMU PUA

Kutokwa na damu puani ni jambo la kawaida sana kwa kila mtu na mara nyingi huwa sio hatari sana isipokuwa kama linaambatana na dalili nyin...

KWA WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA KUVIMBA MIGUU.

Tatizo la kuvimba miguu husababishwa na kujikusanya kwa maji maji ambayo uvuja kutoka katika mishipa ya damu kutoka na sababu mbalimbali z...

TATIZO LA KUOTA NYAMA PUANI

Nyama za puani ni nyama laini zilizoota na  kuning'inia  kwenye njia y a hewa na mianzi ya pua ambazo husababiswa na uvimbe wa muda mr...

TATIZO LA UKE KUWA MKAVU NA MATIBABU YAKE

Tatizo la kuwa na uke mkavu hutokana na kupungua kwa hormoni aina ya estrojeni katika mwili wa mwanamke ambayo husababisha kudhoofika na k...

TATIZO LA VIDONDA MDOMONI

Vidonda mdomoni   husababisha sana maumivu makali  pamoja na kumfanya mtu asiweze kuongea vizuri na watu.Vidonda hivi   husababishwa ...

NJIA RAHISI ZA KUTAMBUA JINSIA YA MTOTO ALIYEKO TUMBONI.

Mwanamke anapokuwa mjamzito huwa na wasi wasi na kushindwa kugundua kama ujauzito aliobeba ni mtoto wa kike au wa kiume. Kuna njia mbalimb...

Kulala chali ni hatari kwa mama mjamzito

Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali  wapo kwenye hatari  ya kuzaa mtoto mfu(stillbirth),kulingana na wanasayansi. Katika utafiti  ...

Zilizo somwa

FAHAMU KUHUSU KUVIMBA KWA BANDAMA(Splenomegaly)WATU ZAIDI YA 27O WALAZWA KWA KUNYWA TONGWA SONGEA...

RAILA ODINGA ALIVYOSHAMBULIWA KWA KIBOKO.

MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA NI KINGA YA UGONJWA WA ...

JINSI UNVYOWEZA KUPATA UGONJWA WA NGIRI (HEARNIA)POMBE, 

BANGI, NDOA NA MALARIA CHANZO CHA MAGONJWA ...

MADHARA YA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO(U.T.I) ...

JITIBU UGONJWA WA MAWE KATIKA MFUKO WA NYONGO(Gall...

ORODHA YA MADAKTARI WALIOPATA UFADHILI.

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO.

TCU YAKIFUNGIA CHUO KIKUU CHA AFYA IMTU KUDAHIRI W...

KAMA UNAOTA NDOTO MBAYA HIZI NDIZO SABABU NA TIBA....

TATIZO LA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI NA JINSI YA KUJI...

KAMA UNASUMBULIWA NA KICHOMI.

KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA KUKOSA HAMU YA KULA...

TATIZO LA KUTOKWA NA DAMU NYINGI AU HEDHI ISIYOFIK...

ONYO: MATUMIZI YA MIRUNGI NI HATARI KWA AFYA YAKO....

EBOLA:

 WAHUDUMU 6 WASHAMBULIWA KWA MAWE.

TAMBUA DALILI ZA AWALI ZA SARATANI YA MATITI.

MAGONJWA KUMI HATARI USIYOPASWA KUPUUZA.

JINSI YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MK...

TAZAMA HOTUBA YA OBAMA KUHUSU KUPAMBANA NA EBOLA A...

NJIA RAHISI ZA KUEPUKA NA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA...K

UZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI KWA WANAWAKEVYAKULA VINAVYOFAA KWA MGONJWA WA KISUKARIKAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO LA MIGUU KUTOA HARUFU ...

MADHARA YA SIGARA KWA AFYA YAKORAMANI KUONYESHA CHANZO CHA EBOLA KUTOKA KWA MNYAM...

KUTANA NA MUUGUZI ALIYEPONA EBOLA NA ANAWASIDIA WA...

CHANZO, KINGA NA TIBA YA HOMA YA MANJANO (Jaundice...

KUHUSU MWANAFUNZI ALIYEJINYONGA KWA KUKOSA MATIBAB...

UNAWEZA KUEPUKA MADHARA YANAYOSABABISHWA NA UNENE ...

FAIDA AZIPATAZO MAMA ANAYEMNYONYESHA MTOTOTAHADHARI KWA WANAUME WANAOWATELEKEZA WATOTO.

SABABU NA TIBA YA TUMBO KUJAA GESI.

SOMA KUHUSU SAMAKI ALIYEFANYIWA UPASUAJI WA UBONGO...

MADHARA YA KUTOBOA PUA, MDOMO NA ULIMIZIJUE FAIDA KUMI ZA ASALI KIAFYA.FAHAMU KUHUSU DALILI NA TIBA YA SARATANI YA DAMU(L...

SABABU ZA WATOTO WADOGO KULIA NA JINSI YA KUWABEMB...

KUHUSU UGONJWA WA KASWENDE (Syphilis)

MJAMZITOTUKUMBUSHANE KUHUSU DALILI ZA UJAUZITOMATUMIZI YA SIGARA ZA UMEME NA MADHARA YAKEMAUMIVU YA TUMBO AMBAYO HUPASWI KUPUUZAKWA WANAOSUMBULIWA NA TATIZO LA KUTOKWA NA DAMU PU...MADHARA NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA KISUKA...YAJUE MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANIKAMA UNASUMBULIWA NA MAUMIVU YA MGONGOKAMA UNASUMBULIWA NA KIUNGULIA MARA KWA MARAUMUHIMU WA KUOTA JUA ASUBUHIMAMBO YANAYOSABABISHA UPUNGUFU AU UKOSEFU WA MBEGU...JINSI YA KUTUNZA NGOZI ZENYE MAFUTATATIZO LA KUTOKWA NA DAMU KWENYE FIZI►  August (65)►  July (11)►  June (10)►  May (8)►  April (16)►  March (38)

Categories

DAWADAWA NA LISHEHABARIHUDUMA YA KWANZALISHEMICHEZOUTAFITIWASILIANA NASIYA AKILIYA WANAUMEYA WANAWAKEYA WATOTO

CONTACTS

HomeUNGANA NASI FACEBOOKUNGANA NASI TWITTER

Popular Posts

NJIA RAHISI ZA KUTAMBUA JINSIA YA MTOTO ALIYEKO TUMBONI.

Mwanamke anapokuwa mjamzito huwa na wasi wasi na kushindwa kugundua kama ujauzito aliobeba ni mtoto wa kike au wa kiume. Kuna njia mbalimb...

UMUHIMU WA KWENDA HAJA NDOGO KILA BAADA YA TENDO LA NDOA

Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baa...

DALILI NA MATIBABU YA MINYOO

 Mnyoo ni aina ya nematodi mkubwa ambaye anaishi katika matumbo ya Binadamu na anasababisha ugonjwa wa minyoo.  Inakadiriwa kwamba karibu...

JINSI YA KUZUIA MAUMIVU WAKATI NA BAADA YA TENDO.

Maumivu haya wakati na baada ya tendo hutokea wakati wa tendo au baada ya tendo la ndoa na husababishwa na matatizo mengi katika njia ya u...

HASARA ZA KUJICHUA(PUNYETO)

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kuli...

VYAKULA 10 VINAVYOFAA KWA WANAUME.

1. Chokolate, hurekebisha mzunguko wa damu na kuondoa mafuta ambayo hayafai kwenye mishipa ya damu hivyo kukuepusha na shinikizo la d...

TOFAUTI KATI YA TEZI DUME NA BUSHA.

Tezi dume na busha ni vitu viwili tofauti, tezi dume ndio kisababishi kikuu cha saratani ya kizazi kwa wanaume(prostate cancer)  hutokana ...

YAJUE MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI

Madaktari na waalamu wa afya wanashauri kulala bila nguo za ndani wakati wa usiku ili kuwezesha viungo vya uzazi kupata hewa ya kutosha il...

TATIZO LA UKE KUWA MKAVU NA MATIBABU YAKE

Tatizo la kuwa na uke mkavu hutokana na kupungua kwa hormoni aina ya estrojeni katika mwili wa mwanamke ambayo husababisha kudhoofika na k...

FAHAMU KUHUSU KUVIMBA KWA BANDAMA(Splenomegaly)

Maambukizi na magonjwa mengi kwa muda mrefu husabisha kuvimba kwa bandama(spleen)  ambayo iko kushoto mwa tumbo na hivyo kuharibu utendaji...

Featured Posts

Maambukizi na magonjwa mengi kwa muda mrefu husabisha kuvimba kwa bandama(spleen)  ambayo iko kushoto 

No comments

Powered by Blogger.