Header Ads

Mchachuko sehemu ya14

MCHACHUKO……(14)
MTUNZI…EMMANUEL F.
AGE…(18+)
Contact…+256756 322432
******
Simu ya Zakaria ilimshtua akiwa na demu wake consolatha ndani ya gari lakini kwa kiburi aliikata na kuitupa pembeni huku akijivuta sawa na kuendelea kuendesha gari, walisha fika sasa Tazara mataa na kuiacha bara bara ya Mandela Road,
Walikunja kulia na kunyooka  moja kwa moja, ndani ya dakika chache walikua getini na kupewa kadi ya kuingilia uwanja wa ndege wa kimataifa mwalimu nyerere,
Waliegesha gari yao na kushuka, haraka haraka walianza kutembea kuelekea sehemu maaalumu ya kupokelea abiria wanao shuka na usafiri huo wa anga,
Walikutana na Hellen rafiki  kipenzi wa Consolatha hapo na Adrian, ilibidi waigize kuwa hawa kuwahi kufanya lolote lile miezi michache iliyopita,
Walisalimiana kidogo kisha kusubiri ndege ya shirika la Fly emirates, ambapo baada ya dakika thelathini itakua teyari imesha fika na kumpokea mwanamke Leila ambaye alikua akitokea nchini Marekani!.
Hata kwa Adrian alitamani sana kumuona mwanamke huyo ambaye mara nyingi Consolatha humsifia na mara kadhawa humuonesha picha zake kwenye simu.
“mbona Unanikaushia ivyo Dee?”
Aliusoma ujumbe wa simu watsap Adrian kutoka kwa Hellen ambaye alikua mita chache mbele yake akiwa na consolatha,
alimtupia jicho na kumkonyeza kumaanisha kuwa anaujibu ujumbe wake.
“humuoni huyu anaweka kiwingu hapa”
“ha ha ha ha eti kiwingu, una jua nakupenda sana Adrian nilivyo sikia tu pafyumu yako, nika kumbuka siku ile kwenye maji”
Alijibu Hellen na kumtumia kimdoli chenye kopa kopa machoni.
“mmh mmh,mimi nipo mbona..”                                                                                                                                    Adrian alijibu nakumtumia picha ya kingedere kimeweka mikono yake machoni, kuashiria kuwa ana aibu kiutani.
“basi nita kutafuta, “
“hakuna cha kuni tafuta hata leo tu”
“wewe, usini tafutie balaa”
“tulia mamii tulia, mwenyewe utapenda tuta muacha huyu kwenye mataa,”
Walizidi kuchat huku wakionesha nyuso zenye tabasamu, huku wakizuga kuongea na Consolatha kama hawakuwa wakichat,
hata ivyo ilikua vigumu sana kwa Consolatha kugundua,
Sababu walikua wakicheka wote bila kujua hakua na watu hao hata kidogo.

Kipaza sauti kilisikika kuwa ndege fly emirates ilisha tua teyari ivyo walikaa sawa kwa ajili ya kumpokea mgeni wao kutoka marekani.
“Leilaaaaaaaaaaa Leilaaaaaa!”
Alipayuka Consolatha na kumfanya mwana mke mmoja aliye panda hewani kidogo kugeuka, alikua ni mweupe kiasi kwa haraka haraka alikua ni afrikast,
alicheka kidogo na kumkimbilia consolatha na kumkombatia huku akimbusu mashavuni.
“hii Guys,”
Aliwasalimia Hellen na Adrian,
“halloo”
Aliitikia Hellen lakini kwa nguli Adrian hakuitikia salamu hiyo na kutikisa kichwa peke yake, huku akizidi kumthaminisha mwanamke huyo ambaye alikua akiongea maneno mengi mdomoni mwake.
“huyu anaitwa Adrian, ni mpenzi wangu”
“ooh well your boyfriend, he is smart, he is good, he is handsome, nice looking, am Leila, you can call me Leila(oooh vizuri ni mwanaume wako,ni maridadi, yuko vizuri, ni mtanashati, ana muonekano mzuri, unaweza kuniita Leila)”
Kwa Adrian hapo alikua amepotea ki ukweli hakua na shule kichwani kiingereza kilikua tatizo kwake hakujua ajibu nini,
“thank you(ahsante), nashukuru kukufahamu, pole na safari”
Adrian alijibu ila sio kwamba alipenda kujibu Kiswahili alitamani aoshe lakini hakuwa na uwezo wa kwenda na kiingereza sawa sawia.
Waliingia ndani ya gari pamoja na Hellen na kwenda moja kwa moja kwenye moja ya mgawaha ambao ulikua maili chache na hapo Tazara, walikaa kwenye moja ya viti na kuagiza chakula na vinywaji.
Na wote kuanza kufurahi huku wakila kwa pamoja ila kwa Leila alionekana ndiye muongeaji kuliko wengine wote na kilicho mchukiza Adrian ni kitendo cha kutumia lugha ya kiingerza muda wote.
“samahani conso, ngoja niende msalani kidogo”
Aliinuka Adrianna kumkonyeza Hellen hiyo ilikua ishara.baada ya kufika mbele alimtumia meseji kuwa ata mkuta baa inayo fuata,
“poa nakuja hapo sasa hivi”
“fanya fasta nishalipia Room”
Baada ya dakika chache Hellen mdogo mdogo alisimama na kuelekea baa ya jirani aliyo elekezwa kuwa  Adrian ndiyo yupo.,
“wana zingua embu tukafanye yetu chap chap au sio”
Alizungumza Adrian huku akimshika kiuno Hellen na kuingia chumbani baada ya tu kupewa funguo.
Nusu saa sasa lilisha pita bila Adrian kuonekana wala Hellen, wasiwasi wenye wivu ulizidi kumwingia Consolatha alisimama na kwenda chooni ili kumuangalia kama Adrian yupo.
“samahani kaka eti huko chooni kuna mtu”?
Aliuliza Consolatha baada ya kumuona kijana mmoja anatoka choo cha kiume.
“hakuna mtu”!
Bila kuuliza kitu Consolatha aliingia choo chakiume  lakini hakumuona Adrian, alirudi choo cha kike napo palikua patupu baada ya kumkosa Hellen na kumfanya azidi kuingiwa na wasi wasi juu ya watu hawa wawili,
“conso tatizo nini, what is the problem, what are you looking at(nini tatizo unatafuta nini)?”
“hakuna kitu,”
“niambie”
“hakuna kitu!”
“aya lakini ungeniambia ukweli, sababu najua your looking for your Man(utamtafuta mwanaume wako)”
“yaah ni kweli ume muona”?
“ha ha ha ha poor you, ndio nime muona, nilimuona kwa mbali kwenye baa ya kule mbele, the other side,  I thaught alikuaga”?
“wapi!kule upande ule”?
“ndio,alikua na huyu huyu rafiki yako Hellen”
Consolatha kusikia vile haraka haraka aligeuka akiwa amekunja sura yake akiwa mwenye wivu moyoni mwake
Na kuanza kutembea kuelekea kwenye baa aliyoelekezwa kuwa yupo Adrian.

ITAENDELEA..........

No comments

Powered by Blogger.