Header Ads

Mambo (5) ya mtu Mwenye Afya Bora





Mambo matano(5) ya mtu Mwenye Afya bora






1.kula chakula bora (balanced diet)

2.Kuwa MTU wa kufanya mazoezi Mara kwa mara na kunywa maji ya kutosha kila siku walau Lita 2 kwa siku

3.kujua namna ya kukabili matatizo na kukabiri msongo wa mawazo (control you stress)

4.kupata muda wa kutosha wa kulala

 5.kupata muda wa kupumzika na kubadilishana mawazo na watu




No comments

Powered by Blogger.