Header Ads

Cheka

1. *MDADA ALICHUMBIWA NA WATU WANNE *

1.Msanii
2.Mvuvi
3.Mwindaji
4.Doctor .

Siku moja dada huyo alienda mtoni kufua ghafla alitokea mamba akamchukua akazama nae majini palepale msanii akatunga wimbo akaanza kumwimbia mamba akatokeza kichwa juu,palepale mwindaji akampiga risasi mamba akafa na dada alibaki akitapatapa ndan ya maji  palepale mvuvi akaogelea kwenda kumuokoa akamleta nchi kavu palepale doctor akamtibu majeraha mpaka akapona .

swali linakuja, Je ni nani anayestahili kumuoa kati ya watu hao wanne?naomba jibu na  share  kwa wengine mpaka tupate jibu.

2. Leo nilikuwa nasikia njaaa sana nikamuuliza rafiki yang wap naweza pata chakula kizito cha kushiba cha bure akanambie niende nika kojoe mlangoni kweny kituo cha polisi...

......sasa npo nyuma ya kaunta wamenambia nitoe shati sasa cjui ugali wanao niletea ni wamoto sana.., wanahuruma sana polisi hawapendi nisikie joto..

No comments

Powered by Blogger.