Header Ads

Vituko vya mgeni

Nimeagizwa nikampokee mgeni stendi,nimempokea nashangaa yeye ndo anakaza mwendo njiani!

*Nimemuacha katangulia kama hatua tano nimekata kona kichochoro kingine!*

*sasa hivi nipo kwa rafiki yangu nasikia anatangazwa msikitini Amepotea*

CHEKI HII.....

Masaa4 baada ya kufanyiwa upasuaji, JUMA alizinduka na kupumua kwa nguvu na kusema, asante MUNGU kwa kunilinda. Pemben mwake kulikuwa na wagonjwa 2 wamelazwa, m1 upande wa kulia na wa2 upande wa kushoto. Yule wa kushoto akasema, usiwaamin hawa mimi walisahau Sindano tumboni kwangu na hapa nasubiri kupasuliwa tena. Yule wa upande wa kulia naye akadakia mimi pia wamesahau pakti ya pamba hapa nasubiri nipasuliwe tena. Mara JUMA akasikia vibration tumboni, akiwa Anatafakari Mara Akaingia yule DOKTA aliyemfanyia upasuaji na kuuliza, hamjanionea simu yangu ya NOKIA hapa? JUMA akazimia. Itaendelea akizinduka.

No comments

Powered by Blogger.