Header Ads

Herpes simplex virus ni nini?

herpes simplex 

ni ugojwa ambao mara nyingi mtu hupata wakati wa kuyonya sehemu zasiri.kuna aina mbili za ugojwa huu, kuna herpes simplex type 1 and herpes simplex tpye 2.
kuna herpes simplex ya mdomoni na ya sehemu za siri. type 1 ni ya mdomoni na type 2 ni ya sehem za siri.
HERPES SIMPLEX TYPE 2.
herpes simplex type 2 ni ugojwa ambao unasambazwa kwa njia ya kujaamiana. ugonjwa huu huathiri zaidi sehem za siri.
pale ambapo mtu hunyonya sehem za siri za mtu mweye ugojwa huweza kupata herpes simplex type mdomoni.
DALILI ZAKE.
1. Malengelenge mengi mdomoni.
2. maumivu makali mdomoni,
3. lipsi kuwaka moto.
4. vidonda mdomoni.
herpes simplex type 1 ni ugojwa ambao ni kawaida yake kua mdomoni, ugojwa huu hufanana sana na herpes simplex type 2.
type 1 ndiyo ule ambao unaupata wakati ukipata malaria.
HUWEZA KUKUWEKA KATIKA HATARI YA KUPATA SARATANI YA SHINGO.
SARATANI? Ndyo huweza kukuweka hatarini kupata saratani ya shingo. Hii imethibitishwa na  American c ancer  Society Chief Medical Officer Otis Brawley, MD.
saratani hii husababishwa na kirusi kinachoitwa, human papiloma vurus.(HPV) ambacho hupatikana sehemu za siri.
Huweza kusababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi.

1 comment:

  1. If you have herpes simplex, which means you have AIDS. Please respond

    ReplyDelete

Powered by Blogger.