Header Ads

Tarehe nzuri kwa mimba kutungwa

Welfare 


» AFYA » Fahamu Tarehe/ siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa.

Fahamu Tarehe/ siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa.

 

Leo napenda nizungumzie jambo moja tu ambalo ni juu ya  jambo moja tu, nalo ni namna wanavyoweza kui-pin point siku ile ya kilele
(i.e fruitful/productive/fertile 

day), hapa nina maana ya siku ile ambayo wao wanaiita siku ya 14.  

Ikumbukwe kuwa wanawake wanatofautiana katika suala zima la urefu wa MENSTRAL CYCLE, yaani 

idadi ya siku kati ya period ya kwanza hadi ile ya pili inayofuatia. Kundi kubwa la wanawake wana fall 

kwenye range ya siku 22-35. Japo walio-normal wana siku 28. Vile vile kuna wengine huwa na menstral 

cycle mbili, yaani fupi na ndefu. Hivyo walio na menstral cycle fupi, mathalani wale wenye siku 22, huwa 

vilevile wana kipindi kifupi sana cha kutokwa na damu (period), yaani damu inaweza kukatika ndani ya 

siku 2 tu! Na wale wenye siku 35 au zaidi huwa wana kipindi kirefu sana cha kutokwa na damu (period) 

ambapo wengine huwachukua hata siku kati ya 5 hadi 8.  

Hivo basi, kama wewe ni mwanaume inakubidi umwelewe vizuri mwenzi wako juu ya hayo niliyoyasema 

hapo juu ili ikusaidie kui-pin point ile fertile day (yaani siku ya mimba).  

Swali: Je siku ya mimba ni ipi? 

Jibu lisilosahihi: Watu wengi na hata baadhi ya wanasayansi wanafikiri siku ya mimba ni ile ya 14 baada 

ya dalili za kwanza za damu ya hedhi! Wao huhesabu kuanzia siku ile damu ilipoanza kutoka hadi siku ya 

14! Utaratibu huu ume-prove failure! Hii ni kwa sababu wanawake wana menstral cycle 

zinazotofautiana kwa urefu. Hivo basi jibu sahihi ni hili hapa chini: 

Jibu sahihi:  

1. Kwanza inabidi ujue kama mwenzi wako ana menstral cycle ipi? Fupi au ndefu, ama zote mbili? 

2. Baada ya kujua urefu wa menstral cycle ya mwenzi wako then pin point siku ile ya mwisho halafu 

uhesabu backwards siku 15 kuanzia siku ile ya mwisho. Siku hii ya 15 kuanzia mwisho ndiyo siku ya 

mimba kwa mwanamke yeyote!  

Once you know the '15th day' from the last one, then you can manoeuvre whatever you want to get her 

pregnant or to avoid pregnancy!  

With this new approach of pin pointing the fertile day you will find that all women (menstral cycles) 

are covered, whereas the old way of counting fits only to women whose menstral cycles are 28 days! 

Naomba nitoe mifano hai kwa faida ya dada zetu na wengine: 

1. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 22 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza 

itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa 

chini: 

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 

20th, 21st, 22nd. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 22nd day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 

kumi na tano inaangukia kwenye 8th day ya kalenda yake. Hivo 8th day ndiyo siku ya mimba 

kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 22. Akumbuke kwamba 1st day 

ndiyo siku anayoanza ku-bleed! 

2. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 28 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza 

itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa 

chini:  

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 

20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 

kumi na tano inaangukia kwenye 14th day. Inamaana kwamba 14th day ndiyo siku ya mimba 

kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 28. Akumbuke kwamba 1st day 

ndiyo siku anayoanza ku-bleed! 

3. Kama mwanamke ana menstration cycle ya siku 35 inabidi afanye kama ifuatavo: Kwanza 

itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama hapa 

chini:  

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th, 16th, 17th, 18th, 19th, 

20th, 21st, 22nd, 23rd, 24th, 25th, 26th, 27th, 28th, 29th, 30th, 31st, 32nd, 33rd, 34th, 35th. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 28th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 

kumi na tano inaangukia kwenye 21st day. Inamaana kwamba 21st day ndiyo siku ya mimba kwa 

mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 35. Akumbuke kwamba 1st day ndiyo 

siku anayoanza ku-bleed! 

4. Kama mwanamke ana abnormal menstration cycle ya siku 15 , BASI KUNAUWEZEKANO 

WA KUTOPATA MIMBA KABISA KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI:  

Kwanza itabidi atengeneze kalenda yake mwenyewe ya siku zake zote za menstration cycle kama 

kawaida:  

1st, 2nd, 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th, 8th, 9th, 10th, 11th, 12th, 13th, 14th, 15th. 

Kisha ahesabu kuanzia ile 15th day kurudi nyuma mpaka afikishe siku 15. Ataona kuwa siku ya 

kumi na tano inaangukia kwenye 1st day. Inamaana kwamba, the 1st day of her bleedind ndiyo 

siku ya mimba kwa mwanamke yeyote ambaye ana menstration cycle ya siku 15. Akumbuke 

kwamba 1st day ndiyo siku anayoanza ku-bleed, na ndiyo hiyo hiyo siku ambayo mwanamke wa 

kundi hili anaweza kupata mimba! 

Hii inamaana kwamba, siku ambayo linaharibika lile yai la upande mmoja ndiyo siku hiyo hiyo 

ambayo yai la upande wa pili linapevuka tayari kwa kurutubishwa. Mwanamke wa aina hii 

anaweza kupata mimba tu kama atakutana na mwanaume siku ile anayoanza kubleed, kwani siku 

ambayo yai moja linaanza kuharibika ndio siku hiyo hiyo ambayo yai la upande wa pili 

linakuwa tayari kurutubishwa! 

Na wanawake wa kundi hili la nne ukiwauliza vizuri watakiri kwamba hawajawahi kuona au ku-feel ule ute mweupe ambao wenzao huwa wanaupata siku ile yai linapokuwa tayari kwa 

kurutubishwa, kwani ute wa wanawake wa kundi hili la nne huwa unachanganyikana na damu 

kwa vile unatoka siku ile ile wanapoanza ku-bleed. Pia wanawake wa kundi hili huwa 

wanatokwa na kiasi kidogo sana cha damu; na bleed hukatika ndani ya siku moja au mbili tu!  

Jambo la kushangaza ni kwamba, wanawake wengi hawana knowledge ya kutosha juu ya hili 

suala la siku ya mimba; hasa wale ambao wana menstration cycle inayobadilikabadilika! Wao 

husitukia tu wameanza ku-bleed. Ndo maana hawawezi hata ku-plan kutopata mimba! Hawana 

ujanja kabisa ndio sababu wengi wanatumia sindano na njia zingine nyingi za artificial ambazo 

mwisho wa siku huwaletea matatizo ya uzazi, kwani nyingi hu-block njia ya uzazi! Nimeona 

wengi wenye matatizo ya uzazi unaosababishwa na hizi artificial family planning. Wengine 

hulazimika kwenda hospital kuzibuliwa ili wapate mimba jambo ambalo ni hatari kwa afya zao! 




JE UNAFANYA KAZI MUDA MREFU NA UNALIPWA KIDOGO?AU UNA MADENI SANA?JE UNA MTAJI KUANZIA THS 250,000/=?..NJOO UPATE MAFUNZO YA BIASHARA UJUE NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA KWA MTAJI HUO MDOGO UJIKWAMUE...TUPIGIE 0625539100 AU 0767969628 TUPO DAR ES SALAAM

During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.


WASOMAJI WETU WOTE HADI LEO

 1,094,763

POPULAR POSTS

JE KUFANYA MAPENZI NA MKEO AKIWA MJAMZITO KUNA MADHARA AU LAAA,JIBU HILI HAPA

  Ni kawaida kwa mwanaadamu aliye mzima kupenda kuwa na mtoto, na kwa namna ya upekee katika kuumbwa kwa mwanaadamu, hakuna ...

IFAAHAMU SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER) NA NANMNA YA KUJIKINGA

  UTANGULIZI     Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pi...

FAIDA za Wana Ndoa Kufanya Tendo la Ndoa Angalau Mara Tatu Kwa Wiki kiafya..Soma Hapa

Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) ...

IMEGUNDULIKA KWAMBA HIVI NDIVYO VYAKULA VINAVYOSABABISHA UPUNGUFU NGUVU ZA KIUME KWA VIJANA WENGI WA KISASA.

Kauli ya mhariri:  Wananchi walio na mapato ya kadiri wameacha kula vyakula vya kiasili ambavyo huwa vyenye afya. Wananchi hao wamegeukia ...

HIVI NDIVYO VYAKULA VYA KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA {MAPENZI} KWA WANAWAKE NA WANAUME

PILIPILI Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hat...

Hili hapa ni Tunda Ambalo Unatakiwa kula Kabla ya kwenda Kulala

Unatafuta chakula kizuri cha kukuvutia kwa ajili ya kulala usingizi mzuri? Usitafute mbali, Ndizi ziko kila mahali unapopita , kwenye ...

KANSA YA KIZAZI: NINI CHANZO, DALILI ZAKE NA MATIBABU LAKINI JE, UNAJUA NAMNA YAKUJIKINGA??? SOMA HAPA

   Saratani ya shingo ya uzazi ni saratani inayoongoza kwa vifo na ugonjwa unaotokana na saratani hapa duniani na Tanzania.  Saratani hii ...

TUMIA HII BIDHAA KURUDISHA HESHIMA YA NDOA,INAKURUDISHIA HAMU,NGUVU NA UIMARA KAMA ULIVYOKUWA KIJANA...

We are so excited to introduce a food supplement that will help you stand longer between the sheets and leave a memorable mark to your ...

Hizi ndizo FAIDA za Wana Ndoa Kufanya Tendo la Ndoa Angalau Mara Tatu Kwa Wiki kiafya pata kuzijua

Utafiti umebainisha kwamba kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kw...

HAYA NDIYO MADHARA YA KUNYWA MAJI KABLA YA KULA

DRINK WATER ON EMPTY STOMACH http://www.health.newsbyteafrica.com/ It is popular in Japan today to drink water immedi...

LABELS

AFYA

© COPYRIGHT 2016 welfare.blogspot.

No comments

Powered by Blogger.