Header Ads

Mchachuko sehemu ya 111

MCHACHUKO….(11)

MTUNZI…EMMANUEL F.

LINK..www.facebook.com/STORYZAKWAY

ILIPOISHIA

“MMMH aaaah”
Alianza kuguna mwanamke huyo na kujipinda baada ya Adrian kupeleka mkono wake chumvini akicheza vizuri na goli la Mrembo huyu ambaye mpaka wakati huo alikua hajiwezi tena na kusahau kuwa mayai yanaungua jikoni.

SONGA NAYO.

MAMBO SASA yalikua ng’ari nga’ri kwa kungwa huyu wa mapenzi alishaichojoa teyari nguo iyo ya ndani ya Fiona ambayo ni ya kwanza kuvaliwa ya mwisho kuvuliwa, na sasa kuipanua miguu yake vizuri,  alipapasa papasa pembeni ya mifuko yake na kutoa kiboxi cha kinga kisha kuchana boxi lile haraka haraka,
kwa haraka aliyokua nayo kilidondoka chini alikiokota haraka haraka na kuvaa zana za maangamizi na sasa shughuli hiyo pevu kuanza huku akitumia na vidole kucheza rafu mechi hiyo ya kikubwa,
Mambo yalikua mpwito na heka heka kuanza huku bado Fiona akiwa juu ya kabati lile wakinyonyana ndimi zao huku Adrian akiendelea kukizungusha kiuno chake taratibu sana, hii ni baada tu MASHINE yake kuingia vizuri ndani ya ikulu ya mtoto huyu wa chuo kikuu cha Dar es salaam aliyekua laini sana kama aliyekua akiogea mayai mabichi na kujipaka mafuta ya kula, sababu alikua akiteleza kama mlenda,

Fiona sasa alikua na kazi moja tu ya kutoa miguno ya puani huku mara kadhaa akilitaja jina la Adrian na kumnyonya shingo, aliizungusha mikono yake mpaka nyuma ya kiuno cha Adrian na kuanza kukikandamiza kwa ndani sana huku akikatika juu ya kabati lile,
Kwa nguvu zenye stamina Adrian alimbeba Fiona ambapo miguu miwili ya Fiona ilikua juu ya mikono ya Adrian ime kunjwa vizuri alimsogeza na kumbana ukutani tii!,
isingekua Adrian hana nguvu angedondoka, hii iliihitaji sana miguu yenye stamina na pumzi nyingi sana,

Wakati mwingine Fiona alidhani wenda anadondoka na kujishika vizuri na kungwi huyu ambaye alikua ni kiungo mzuri wa kupiga chenga na kushinda magoli hata kwa mikono bila refarii kujua,
Mambo yalikua mukide mukide, simu yake iliyo kua chini ilianza kuita alivyoangalia aliona PARTSON JR ila hakutaka kupokea wala kujishughulisha nayo, sababu ya mtanange aliokua nao hapo kwa wakati huo,
Haikuishia hapo juu kwa juu walisogea mpaka seblen na kumbwaga Fiona juu ya sofa puu! Na yeye kupanda juu yake aliipanua miguu ya Fiona na kuingia kati kati yake na kumlalia kifuani huku akiendelea kula lita,

Ilikua ni mechi ya kupata na shika nguo kuchanika baada ya dakika kadhaa Fiona sasa alizidi kukinyonga kiuno na kumfanya Adrian aanze kufanya fujo alijua kabisa ndio wakati wa Fiona kushinda bao,
Alichotaka yeye ni kusawazisha. kweli baadae Adrian alikuwa amelala juu ya kifua cha Fiona wote wakiwa wana majasho kwa mbali sana, na pale pale usingizi kuwapitia wakiwa vile vile.

***

Kilicho mstua asubuhi zilikua ni kelele za geti kugongwa kwa fujo aliamka na kuchungulia, kupitia dirishani na kumuona Mlinzi wake kimti anavyo hangaika kujishauri kufungua geti na kujua teyari lazima atakua ni mwanamke.

“Oyyaaaa kimti nani”?

“Mama, Mama,”
“Nani”?
“Consolata bosi”
“Dooh, usifungue subiri…. Wewe  wewe Fiona amka amka”
Adrian aliongea akiwa ana haha sana,  na kukimbia jikoni kuchukua nguo za Fiona na za kwake alienda na kumtupia usoni.
“Nini jamani Adrian wangu”?
Alizungumza Fiona huku akipiga miayo ya uchovu asubuhi hiyo bila kuelewa kulikua kuna kimbembe.
“wewe embu amka fanya fasta, mwenye mali keshafika, fanya fasta vaa nguo upesi”
“Adrian”
“sina huo muda fanya fasta”
Kila walivyozidi kuongea ndipo geti lilizidi kupigwa kwa nguvu kuashiria kuwa aliyekua akigonga alikua amejawa na hasira nyingi sana na kutamani hata kuvunja geti hilo.
“kwani vipi Adrian?”
“mke wangu yupo getini, akikukuta hapa utaomba poo”
“hee jamani sasa itakuaje”?
“embu vaa nguo kwanza shika sidiria hii umesahau kuivaa,
twende twende,”
Simu ya Adrian ilianza kuita na kuona ni Consolatha anapiga alimuangalia Fiona na kumpa ishara akae kimnya kwa njia ya kuweka kidole chake mdomoni.
“Yes baby”
ilibidi aigize sauti ya kujifanya yupo kitandani na kupiga mihayo ya kisaniii.
“upo wapi”?
“nipoo ndani nimelala vipi kwani”?
“ina maana mimi nagonga mlango hausikii Adrian, huyo Kimti kwani yupo wapi”?
“atakua chooni maana tangu jana tumbo lina msumbua nakuja mimi getini”
Simu ilikatwa na kumchukua Fiona mpaka stoo ya jikoni na kumficha.
“utulie humu kaa ivyo ivyo, ukikutwa humu sitokutetea”

Yalikua ni maneno yenye kutisha kutoka kwa Adrian na kumfanya Fiona azidi kuingiwa na hofu nyingi sana na mwili kumtetemeka kabisa, alivuta pumzi na kuufunga mlango.
“sasa nitaka humu mpaka saa ngapi”?
“mpaka nitakapo kuja kukutoa,”
Adrian alitoka mbio mbio na kukimbia getini mwenyewe na kulifungua geti  alikutana na Consolatha ambaye alikua ameukunja uso wake na kumfanya awe mwekundu kwa hasira nyingi sana.
“karibu”
Consolatha alipita bila kujibu chochote mpaka ndani na wote kuingia seblen.
“unalala mpaka sasa hivi una tatizo gani”?
“hangover za jana, jana nilikua mtungi sana, nilikua na akina Jimmy jeezy alikua Partson hapa, nilikua na omary Haji na bratha Kide, kula mitungi sana baby”
“mmmh mimi nimeanza kukujua leo Adrian ukilewa, ukilewa nakujua, anyway tuachane na hayo, nime kumisi sana”
“mimi pia baby wangu”
Ila kabla ya kuongea chochote aligandisha macho yake chini baada ya kuona hereni na bangili za kike na kumtizama Adrian.
“Adrian jana usiku ulikua na akina partson tu”?
“ndio ndio na  akina Jimmy Jeezy, yule Massawe alikua swai hapa, na huyu huyu huyu ,mzee Iddy wa jirani hapa”
“kweli, watu wote hao, kulikua kuna harusi”?
“mbona ivyo conso”?
“na izo hereni hapo chini na bangili”?
Adrian alipiga macho yake chini na kuziona Herreni pamoja na bangili za Fiona na kupatwa kigugumizi cha ghafla japokua alikua jeuri ila kwa Consolatha alikua jeuri.
“usiniangalie izo Hereni sasa utaniambia alivaa partson au sijuui Jimmy jeezy au mzee Iddy,what ever”!
aliongea consolatha huku akiendelea kukagua kagua ndani ya nyumba hiyo sababu alijua fika kuna kidudu mtu ndani yake, alitembea mpaka jikoni na kuona kiboxi cha Condom, alirudi sablen na kuanza kupiga jicho kila pembe ya kona baada ya kuangalia vizuri nyuma ya kochi alikutana na Condom iliyo tumika.

“ha ha ha ha Adrian kwaiio utaniambia siku izi kama huwa unafanya mapenzi na wanaume wenzako, na ninajua humu ndani kuna mwanamke,”
“sio kweli”
“we Malaya uliye jificha popote ulipo naomba ujitokeze mwenyewe kabla sijakutoa na kukuaibisha”
Aliongea Consolatha na sauti ile kumfikia Fiona akiwa stoo ana tetemeka sana huku akijishauri atoke au abaki kujificha, jasho jembamba la uoga lilizidi kumtoka mwilini mwake huku akisikia sauti ya Consolatha ikiwa inakuja stoo mahali alipo na kumsikia Adrian akiwa ana bishana nae.
“Conso embu subiri nisikilize, una kumbuka yale makofi niliyo kupiga siku ile leaders”?
Alifoka kwa ukali Adrian ili kuua soo lakini hio haikumfanya Consolatha atulie
“khaa! unanitisha, sasa leo ndo tuta pigana, siku ile nili kuheshimu tu sababu ya Partson jr, ila vinginevyo wallah ungekua una ngeu leo,”
“subiri sasa nikwambie”
“utaniambia nini”?
“jana jana jana, weee Kimtiii”
Adrian alimvuta mkono consolatha mpaka nje ya uwanja kisha kumuita kimti mlinzi wa getini na kumtandika kofi lililo mpeleka chini mzima mzima,
alisimama kama askari magereza aliyeshtuliwa kwenye lindo anasinzia na kukaa wima japo hakujua kwanini bosi wake kamtandika kofi.
“kwaio umeamua kufanya ufuska ndani kwangu kimti, nilikwambia nini una kuja na mwana mke wako unafanya nae mambo yako chumba cha nje kile”
Adrian alirusha kofi lingine lililo mfanya Mlinzi yule aende tena chini, na kusimama tena
“Bosi Bosi, sielewi unaongelea nini”?
Adrian alikunja uso wake na kujifanya kuigiza ila Consolatha bado alitafsiri ule ni kama usanii.

ITAENDELEA..........

No comments

Powered by Blogger.