Mchachuko sehemu ya 10
MCHACHUKO…(10)
MTUNZI…EMMANUEL F.
ILIPOISHIA
Adrian taratibu alipeleka mdomo wake juu ya mdomo wa Fiona na kuanza kumnyonya Lips zake huku picha mbali mbali zikipigwa na kuzidi kunogewa wakizidi kubadilishana mate na kumfanya Fiona afumbe macho yake sababu hapo ndipo udhaifu wake ulipo kwenye lips.
SONGA NAYO.
Baada ya kupigana denda takribani dakika moja waliachana huku macho ya Fiona yakiwa mekundu kwa mbali yakiwa yamelegea baada ya kunogewa na kitendo kilicho tokea sekunde chache zilizopita!, picha nyingine zilipigwa kisha msanii huyo kuaga na kuondoka zake, ukimnya ulitawala kidogo huku bado Fiona akionekana kabisa ana jambo ana taka kumwambia Adrian.
“Umekunywa chai”?
Aliuliza Adrian huku akiinuka kidogo na kutoa wallet yake mfuko wa nyuma na kuonekana akihesabu hesabu noti nyekundu.
“hapana usijali”
“hapana shika hii, elfu arobaini utakunywa chai ushibe”
Fiona aliya toa macho yake na kutokuamini kua ana pewa kiasi hiko cha pesa anywe chai, ukizingatia maisha ya chuo tayari yalishaanza kumpiga, alimuona Adrian ni Mungu kwake alishukuru sana kimoyomoyo lakini hakutaka kuonesha sana.
“asante mwaya”
“poa usijali, uje kwangu basi leo tucheki cheki movie”
“sasa wifi je”?
“wifi kafanya nini, si nitamwambia wewe rafiki yangu au!”
Kauli ile ili mfanya Fiona aingiwe na wivu na kuangalia chini, baada ya kuagana Fiona aliondoka kisha Adrian kuendelea na kazi zake.
“Hivi wewe Martha, mbona hukauki kwa Bosi., maana kila wakati nakuona kwa bosi embu mpe caro apeleke hayo makaratasi uliyoyashika!”
Ilisikika sauti ya Mima akiwa mwenye jazba sana sababu ya kumuona Martha kila wakati akiingia kwa Adrian na kuchukua muda sana kutoka, jambo hilo alilivumilia sana, wivu ulikua teyari usha muingia na kusimama na kumpora makaratasi aliyoyashika.
“Mima tueshimiane”
“embu kikalize hiko kidude chako”
“embu lete makaratasi hayo acha upumbavu Mima”
“nani mpumbavu”?
“sitaki kubishana nawewe nigee karatasi izo”
Martha alivuta karatasi zile na kufanya zichanike kati kati.
“Mungu wangu umechana Cheki ya bosi!”
Aliropoka Martha na kushangaa, Mima aliya toa macho yake baada ya kuona cheki ya Adrian ya milioni ishirini imechanika katikati, alijua lazima kutakua kuna kimbembe maana alijua sana Adrian kwenye mambo ya pesa hanaga masihala anaweza hata akampiga makofi mtu.
Moja kwa moja Martha aliingia na kuanza kutoa unoko ule kwa bosi wake na kumuelezea kilicho tokea, Mima aliitwa bila kua mini pale pale alisimamishwa kazi kwa muda usiojulikana.
“nimemaliza kachukue barua yako kwa Caro mezani sasa hivi Mima, sipendi upumbavu kwenye kazi zangu, Martha kaendelee na kazi”
Kweli kulikua kuna kila aina ya dalili kuwa ndani ya maneno ya Adrian hakukua na masihala hata kidogo, maana aliongea na kutokumwangalia Mima usoni.
“embu nitokee ofisini kwangu Mima, hayo machozi yako mimi hayanitishi nilishaona machzoi ya damu……juma njoo umtoe huyu mtu ndani”!
Alishusha mkonge wa simu na kumuita mlinzi wa nje ili amtoe Mima ofisini kwake.
JIONI ILIFIKA na tayari alikua njiani huku akichati na Fiona muda gani aweze kufika kwake,baada ya kufika kwake aliweka gari kwenye moja maegesho na kushuka.
“kimtii, kuna mgeni wangu atakuja saa tatu usiku, naomba usimuweke getini”
“sawa tajiri”
Alipanda ngazi taratibu na kunyoosha moja kwa moja kwenye juu gorofani na kuingia bafuni na kuanza kuoga huku akiisafisha vizuri mashine yake iliyokua kubwa na nene kiasi kama nyoka kifutu,
Baada ya hapo alivaa vest na kufika seblen ambapo alikuta missed call kumi na moja za Fiona na meseji saba.
***
“SUBIRI KWANZA HAPA HAPA KAKA, NIMEPOTEA”
“dada sasa si umpigie simu huyo mtu umuulize ni wapi”
“ni tegeta kibaoni, yaani kama unaelekea tegeta Nyuki kule, ukikata kushoto kuna gorofa je….”
“basi nishapajua kwa ALUATANI”?
“ndio nani”?
“si huyo unaye muulizia”
“ndo anaitwa ivyo”?
“ndo tumemzoea ivyo, sababu ana mademu huyo jamaa balaa, kama unaenda kwake sikushauri wala nini. Jamaa ni kicheche kishenzi”
“sikia wewe hayakuhusu, sio kazi yako acha umbea mwanaume mzima, kua na koromeo, ulitaka awe anakutia wewe au, sasa unavyo niambia ivyo ili iweje, mpumbavu nini,”
“basi dada samahani”
“aya nipeleke basi”
Dereva Yule alikaa kimnya baada ya kushushuliwa na kuwasha bajaji hiyo na kuanza safari ya kuelekea kwa Adrian,
waliingia kushoto na kunyoosha barabara ya lami kisha kukunja kushoto na kupita baa ya SWAI na kusonga mbele,
mbele waliona gorofa kubwa jeupe lenye kuwaka taa kila kona ya ukuta, Fiona alishuka na kumlipa Dereva Yule pesa zake kisha kuingia getini,
kutokana na Kimti kupewa taarifa za ugeni bila kuuliza alimpisha dada huyo huku akimsindikiza kwa macho ya matamanio sababu alivaa suruali aina ya skin jins iliyo mchoresha umbo lake,
Alifika na kumkuta Adrian akiwa amesinzia juu ya kochi na kumpiga kikofi kidogo cha shavu.
“mbona unasinzia ivyo?,”
“hapa sijasinzia nilikua nakuona tangu upo kule nje”
“kwenda zako, wakati ulikua una koroma kabisa,”
“mimi komando wewe, shauri yako, karibu lakini vipi, hukupotea”?
“nilipotea hapo kati, nilivyokua nakupigia simu sema nilielekezwa na mtu, vipi..yupo?”
Fiona aliongea sauti ya chini huku akisonta kidole mlangoni kumaanisha kuwa mwanamke wa Adrian yupo au hayupo. Na kumfanya Adrian atingishe kichwa kuashiria kuwa hayupo.
“mmmh afadhali hapa naweza kujiachia maana sisi tuna jijua wanawake, anaweza akawa anakuchekea kumbe moyoni anachuki kubwa”
“kumbe ndo mlivyo”?
“Siriazi nakwambia ndo tulivyo sisi wanawake,hatujiamini”
“aise, ngoja basi niingie jikoni nikapike pike kidogo tule Fiona”
Adrian alisimama na kuelekea jikoni na kuanza kuwasha jiko la gesi na kupasua mayai kisha kuweka mafuta na kuanza kupika, hakukaa sawa alimuona Fiona nayeye kaingia jikoni amesimama mlangoni.
“acha nikusaidie yaani upike mimi nipo”
“wewe mgeni acha tu, ata ivyo nilishawahi kuwa baharia”
“ah wapi, sasa hii sio meli”
Fiona alipita mbele ya Adrian na kushika Flampeni na kuanza kukaanga mayai, ila kabla ya kukaa sawa Adrian alikamata kiuno chake kwa mikono yake miwili na kumnyonya shingo na kumfanya Fiona ajipinde sababu alihisi kutekenywa shingoni,
aliendelea kumnyonya Shingo na kumfanya Fiona ageuke na kubaki akimuangalia Adrian huku akihema juu juu, Adrian alipeleka mdomo kinywani mwa binti huyo na kuanza kubadilishana mate na kusukuma vibakuli vilivyokua juu ya kabati lililokua fupi na kumuweka Fiona juu yake na kuendelea kumyonya ulimi wake huku akiivua topu yake.
mwenyewe Fiona aliweka mikono juu ili blauzi ipate kutoka, na moja kwa moja Adrian kukimbilia kifua cha Fiona na kuanza kunyonya maziwa ya binti huyo ambaye mpaka wakati huo macho yake yalikua yamelegea sana,
Haraka haraka alifungua zipu ya Adrian na kutoa KOMBOLA la nguli huyo ambalo lilikua limekakamaa na misuli kutokeza, taratibu alianza kuichua huku ulimi wake akizidi kuuzungusha ndani ya kinywa cha Adrian,
“MMMH aaaah”
Alianza kuguna mwanamke huyo na kujipinda baada ya Adrian kupeleka mkono wake chumvini akicheza vizuri na goli la Mrembo huyu ambaye mpaka wakati huo alikua hajiwezi tena na kusahau kuwa mayai yanaungua jikoni.
ITAENDELEA.........................
Post a Comment