Header Ads

Mchachuko sehemu ya 5

MCHACHUKO….(5)

MTUNZI…EMMANUEL

ILIPOISHIA

“wewe kimti, mtoe huyu taka taka”
“usini sogelee”
Sasa wakati huo tayari mlinzi alikua katika hali ngumu sana , hakuelewa amsikilize nani alikua mara aende kwa Amina mara atulie mwishowe ili m-bidi atulie kati kati yao na kushindwa kujua nini afanye,

SONGA NAYO.

“kimti”
“Naam bosi”
“hutaki kazi”?
“nataka bosi”
“basi sitaki kumuona huyu mwana mke hapa”!
Kimti alimtizama Amina ambaye alikua mita chache mbele yake huku ana tingisha tingisha mguu wake, akionesha dhahiri kabisa alikua akisubiri amguse ili ampe mashushu.!
“Mwee mwee mwee, Dada nenda basi, bosi amekasirika”
“embu sogea kimti nikuoneshe”
Adrian alimfuata na kumshika mkono kwa nguvu zake zote kisha kuanza kumburuza mpaka getini msobe msobe alimtoa Amina nje huku akizidi kutoa matusi ya nguoni lakini hakujali alimtoa nje kisha kufunga  geti na kufuli.
“na usikanyage humu tena mpumbavu wewe”
“mse** wewe Adrian”
“Mse*** shangazi yako makalio yako”!
Aliongea Adrian huku akiwa ndani ya geti huku Amina akiwa nje yake wakizidi kutoealana maneno machafu,
Adrian alivyoona ana poteza muda wake aliingia ndani na rafiki yake kisha kuingia moja kwa moja mezani ambapo

alikuta chakula kilicho pikwa na Beatrice mchana , walikula na kufurahi sana na rafiki yake huyo Patrson Ngogo na baadae usiku sana aliwasha gari na kumsindikiza mpaka kwake kurasini kisha yeye kurudi na kuji tupa kitandani kulala fofofo.!
Kilicho muamsha asubuhi hiyo ilikua ni simu kutoka kwa mama yake mzazi aliye kua mkoani Mbeya kijij cha

Mwakaleli, alimpenda sana mama yake huyo na kumtunza ipasavyo , ki ujumla aliwapenda wazazi wake wote wawili. Wote walijivunia kuwa na mtoto wao sababu aliwa komboa katika hali ya umaskini baada ya kutoroka kuelekea Afrika kusini na kuishi miaka mingi aki tafuta maisha na baadae kurudi akiwa na mali .
Alitoa shuka na kukaa vizuri kitandani  kwa heshima aliipokea simu na kuiweka sikioni.
“ugonile Mama”!
“ngonile Mwanangu, za masiku baba”?
“nzuri kipenzi changu”
“baba yako alikua anaulizaga eti ile gari, uliyo tumaga haikufikaga mwanangu”
“haijafika! nimeli tuma wiki iliyo pita Mama, subiri nitaongea na hawa watu wangu huku, ita kua wamepata matatzio njiani, ila lipo njiani, ni dabo kibini.”
“aya baba, ila mwanangu, uta oa lini,?, Mama yako mimi nataka nka-mwana”
“Mama usijali, nitaoa tu, hilo ondoa wasi wasi ,sawa mama yangu, msalimie mjomba Kipusa, mwambie asione kimnya mzigo wake nita mtumia wiki ijayo”

Baada ya maongezi hayo Adrian alifurahi sana na kuingia bafuni kujimwagia maji sababu tayari kulikua kume kucha, alitafuta shati jeusi kabatini na tai nyekundu alinyonga na kuji pulizia marashi alichukua saa

yake ya gharama aina ya ROLEX na funguo za gari na kutoka nje, aliingia ndani ya gari na kuondosha gari lake taratibu,
Ndani ya dakika kadhaa tayari aliegesha gari gorofa la PPF tower posta na kuteremka, alifika ofisini na kuendelea na kazi za kawaida,
Hali ya hewa ilianza kubadilika mvua kubwa ilianza kunyesha na kufanya radi, ofisini kwake wana wake wasiokua na usafiri walianza kuhaha, wengine tayari walimfuata Adrian na kumuomba lift akiwemo Martha .
“una ishi wapi”?
“Bunju B”
“aaah kumbe jirani yangu”
“kwani unaishi wapi bosi”?
“Tegeta, tegeta kibaoni”
“sawa utani drop”
“ondoa shaka”

“LEO HUTOKI, AFE MTU AFE MMASAI SHUKA LIBAKI, MUNGU BABA SHUSHA MVUA YA MAWE”
Aliwaza Adrian huku akimwangalia Martha nyuma ya makalio yake kwa macho pima, na kum-mezea mate huku NYOKA wake ndani ya suruali akianza kufurukuta akiitaji kulamba unga wa soya.,
Jioni ilivyo fika safari ya kuwa chukua mabinti ilianza na kila mmoja kumshusha sehemu anayoishi, na mwisho kubaki na Martha ndani ya gari, alimwambia apite na kukaa siti ya mbele kushoto kwake, nia yake ilikua amuone vizuri ili amba-ne!,
“nita kupitisha  home kwangu dakika moja, alafu twende huko Bunju”
“hatuto chelewa”?
“aaah wapi”!
Baada ya kufika tegeta kwa ndevu alikunja kulia na kuacha bara bara ya lami kisha kunyoosha .
“NIPO HAPA KWAKO, NAKUSUBIRI LEO SIENDI POPOTE PALE, NATAKA NILALE NAWEWE USIKU MPAKA ASUBUHI, SIKU ILE ULINI FANYA MIMI TOINYO.”
Ulikua ni ujumbe kutoka kwa consolatha, moyo ulimwenda mbio sababu alikua teyari kesha fika getini akijindaa kupiga honi , ili aingize gari kitendo cha kuona meseji ile alijua kivyovyote vile picha litaenda kuungua na kutoa kivuli kama sio nega.,
“mbona tume simama”?
Aliuliza Martha baada ya kumuona bosi wake ana haha mwenye wasi wasi mwingi.
“kuna kitu nimesahau ofisini”
“umesahau nini”?
“funguo za nyumba”
“kwani unaishi mwenyewe?”
“ndio! ngoja turudi”
Adrian aligeuza shingo nyuma na kuanza kurudisha gari kinyume nyume lilivyo kaa sawa alitimua mbio mpaka kwenye moja ya baa iliyokua jirani na pale kisha kumuomba Martha ashuke sababu kuna mtu ana kuja ata mletea funguo nyingine za akiba, ulikuwa ni uwongo mkubwa sana!
Baada ya kukaa pale waliagiza vinywaji na pombe kali, na kitimoto kili letwa na kuanza kula.
“wee muhudumu, muongeze huyu binti bia, upesi upesi”
“Bosiiiiiii baaaasi”
“hapana, leta bia nyingine mimi niletee red wine na bili yangu!”
Muhudumu Yule aliondoka  na baadae kidogo kurudi na vinywaji mkononi. Alifungua na kuacha karatasi yenye bili.
Tayari Martha alikua chakali akililia kurudishwa nyumbani kwao. Adrian alimvuta kiuno na kusonga nae kwenye gari

aste aste huku mvua ikizidi kuwanyeshea, mpaka kufika ndani ya gari walikua wameloa chapa chapa!
Adrian bila kupoteza muda aliweka mkono wake juu ya paja la Martha na kuona hakuna dalili yoyote ya kukataliwa aliipandisha mkono wake kisha kumsogelea mdomoni ila mrembo huyo alikwepesha shingo yake pembeni,
Adrian alivuta kidevu na kuanza kumnyonya mdomo huku mkono wake mmoja ukiwa juu ya ziwa na mrembo huyo na kumsababishia aanze kurembua huku akiya fumba macho yake, Adrian alivuta mguu wa Martha na kuanza kuishusha sketi aliyo vaa na kuanza kutumia kidole chake akipapasa ikulu ya mtoto huyo ambaye alimuajiri muda mfupi,
“bosi akitaka kitu, lazima utekeleze”

Aliwaza Adrian kichwani huku akiendelea kupapasa ikulu ya Martha na kisha kufuata maziwa yake na kutoa blauzi aliyokua ameivaa kisha kutoa na sidiria na kuyashika maziwa hayo na kuanza kunyonya chuchu zake na kufanya Martha aanze kuchanganya midomo yake kwa kumpitisha ulimi ndani ya masikio ya Adrian,
kutokana na baridi la mvua ukichanganya na kiyoyozi cha Gari hilo walihamia viti vya nyuma na kuanza kushikana shikana kila mahali huku kila mtu akihema mihemo ya huba.!

Itaendelea.............

No comments

Powered by Blogger.