Header Ads

Mchachuko sehemu ya 6

MCHACHUKO……(6)

MTUNZI…EMMANUEL

ILIPOISHIA.

Aliwaza Adrian kichwani huku akiendelea kupapasa ikulu ya Martha na kisha kufuata maziwa yake na kutoa blauzi aliyokua ameivaa kisha kutoa na sidiria na kuyashika maziwa hayo na kuanza kunyonya chuchu zake na kufanya Martha aanze kuchanganya midomo yake kwa kumpitisha ulimi ndani ya masikio ya Adrian,
kutokana na baridi la mvua ukichanganya na kiyoyozi cha Gari hilo walihamia viti vya nyuma na kuanza kushikana shikana kila mahali huku kila mtu akihema mihemo ya huba.!

SONGA NAYO.

Kila mtu alimshika mwenzake ana popajua yeye pana faa wakati huo, Kidole kimoja cha katikati cha Adrian kikifanya yake ndani ya ikulu, huku vidole vya Martha vikiwa ndani ya masikio ya Adrin na wakati mwingine akimkwaruza mgongoni akitumia kucha zake zilizo kua fupi kiasi,

Adrian alipanda juu kidogo na kuanza kunyonya maziwa ya binti huyo na kumfanya azidi kudata akiya fumba macho yake na wakati mwingine akisindikiza vidole vya bosi wake ndani ya ikulu yake na mambo kwenda shwari kabisa, alikua teyari yupo mbali na kusahau kuwa ni usiku umeingia na yupo ndani ya gari la bosi wake, alikua mbali sana kihisia alijua yupo katika mji  kasoro bahari,
Chokochoko za kuchimba mgodi kutumia vidole ulizidi kwa kasi sana sasa hivi Adrian aliamua kupanua miguu ya binti huyo huku mmoja wapo akiuweka juu ya kiti cha mbele huku mwingine ukiwa ume kanyaga kioo cha gari na kuiendea

taratibu ikulu ya binti huyo na kuanza kuipiga denda alikua ni kama anahisi yupo kwenye lips sababu aliiinyonya vizuri kiufundi na kumfanya MARTHA ashike ashike gia mara ashike kitasa cha mlango wa gari,
Mgodi sasa ulianza kutoa maji maji mepesi na muda wa kuchimbwa ulikua umesha fika tayari Jogoo wa Adrian alikua teyari kesha panda mtungi, katalogi zilikua tayari kwa kuchimba mgodi huo, taratibu alipeleka mkono wake mpaka nyuma ya kiti cha gari ambapo kulikua kuna sehemu maalumu ya kuhifadhia magazeti au chakula ila yeye aliifadhi zana za maangamizi!,

Baada ya kutoa alichana kifuko kile na kuivalisha mashine yake taratibu na kumbinua Martha na taratibu shughuli ya kuchimba mgodi kuanza pale pale, alimchukua na kumkaliza kwa juu huku yeye akiwa kwa chini ame kaa , alichukua mikono yake vizuri akishika kiuno cha Martha na kuanza kumuinua juu chini, chini juu , juuu chini , chini juu, na kufanya binti huyo atoe ukelele wa  raha sana, aste aste mambo yaliendelea huku  Adrian mkono wake mmoja akiupitisha kwa mbele akiwa kama ana chezea kidude kilicho simama na kufanana na kiharage kichanga!,

Alicheza nacho na kukifikicha taratibu akitumia kidole chake cha kati ki utaalamu kabisa, na kumfanya binti Yule aanze kujishika chuchu zake yeye mwenyewe ilikua ni kama anachochea kuni kwenye moto,
Mambo yalikua moto moto kwake, heka heka zilizidi na kufanya gari hilo kutingishika sasa sababu ya fujo zilizofanywa na Martha alimuomba Ulimi Bosi wake na kupewa huku shingo yake akiwa ameigeuzia kwa nyuma akiendelea kusikilizia raha ndani kwa ndani.
“aaaaaaaah aaaaaah sssshhhh”
Alizidi kutoa miguno Martha huku akikatika kiufundi.mambo yalizidi kunoga ambapo baada ya dakika kadhaa kila mtu alikua upande wake akimtizama mwenzake kwa macho pima.
“Bosi”!
“naam”
“una wana wake wangapi”?
“mmoja tu”
“ana faidi sana, kumbe sio bosi ofisini hata kitandani una paswa kuitwa bosi, nilikua nakuchukulia poa sana, mi nilikua najua watu wenye pesa zao wana kua wazembe kitandani, ila wewe una pesa yaani tajiri wa kila kitu bosi”
Kila mtu alibaki kumsifia mwenzake siku iyo, ulikua usiku umesha ingia sana na Martha kuanza kuvaa nguo zake akiwa ana ogopa kuingia nyumbani kwao, ilimbidi apige simu adanganye kuwa kuna foleni kubwa sana njiani iliyo sababishwa na mvua yenye radi,

Walirudi siti za mbele huku Adrian akiwa ana endesha gari mwendo wa kawaida kabisa alimfikisha Martha mpaka nyumbani kwao na kumnyonya Lips zake kisha kumsihi kesho yake awahi ofisini.
Alivyo shuka Martha bado aliya gandisha macho yake nyuma ya kalio dogo la mrembo huyo aliyejazia kwa nyuma na mwenye mwendo wa mikogo.
“BADO SIJA MFAIDI, HII ILIKUA CHANDIMU, bado mechi yenyewe”!
Aliwaza Adrian na kugeuza gari lake taratibu akirejea nyumbani kwake Tegeta, alifika na kupiga honi kisha kuingiza gari ndani,

Aliipita seble ya chini na kupanda ngazi ila alivyo fika juu alimkuta Consolatha akiwa anaangalia t,v huku akiwa na kanga moja peke yake akiwa amekaa kihasara hasara amejiachia na kufanya mapaja yake meupe na laini kuwa nje,
“Adrian ndo una fika sasa hivi”?
“ndio,”
“ulikua wapi mbona ume lowa ivyo”?
“huoni mvua consolatha”?
“baby wewe muongo, kwaio gari lako linavuja?”
“sina maana hiyo ilichemsha , nikashuka kuweka maji , nime choka hapa nilipo naomba nikaoge ili tuongee baadae,”
“ungekula basi kwanza nimekupikia chakula”
“chakula gani?”
“wali kuku na samaki”
Adrian alijongea mezani na kuanza kula chakula kilicho kua mezani ambapo Consolatha alikuja na kuanza kumchokoza akimlisha mara amshike MTALIMBO wake ilimradi tu alikua akiihitaji haki yake kama mwanamke aliyevunja ungo.
“acha basi nile, unajua kuwa kula ni ibada?”
“ha ha ha ha ha, namimi nataka , ndo maana nika kuandalia chakula nina imani jasho langu alitoenda bure, na hiii mvua, sikuachi, siendi hotelini wala wapi, hata uniambie Mama yako yupo wapi, leo hutoki Adrian”

Adrian alitabasamu na kuweka kipande cha nyama mdomoni huku akimtizama Consolatha mwanamke wake aliye kua na macho mazuri ya kusinzia ambayo yame legea muda wote, kifua chake kilichobeba maziwa madogo kiasi ambayo yalichomoza juu kwenye kanga aliyovaa na kufanya chuchu zionekane kwa mbali,
“consolatha una jua kuwa wewe ni mzuri sana”
“enhee anza kunipa sifa zangu”
“kwanza una macho mazuri mpenzi wangu, una sauti nzuri sana, una mvuto alafu msafi, mengine kesho”
Adrian alivuta kiti kwa nyuma na kumuacha Consolatha akitoa vyombo kisha yeye kuingia chumbani na kuvua nguo zake zote na kuingia ndani bafuni ili ajimwagie maji kutoa uchovu wa mechi aliyo kua akicheza na Martha muda mchache uliopita nyuma ndani ya gari lake.
“chwaaaaaaaa chwaaaaaaaaaa”
Kelele hizo za bomba la mvua zilisikika bafuni humo na kuendelea kujipaka sabuni ila alihisi kama kuna mtu  mwenye mikono laini ana gusa mtalimbo wake, alifumbua jicho lake moja na kumuona Consolatha yupo mbele yake akimwangalia huku akiwa amelegeza macho yake na kufanya yawe mekundu ilionesha kabisa alikua amezidiwa na anataka dozi walau apewe pale pale,

Aliendelea kuchua MASHINE ya Adrian taratibu sana na kuifanya taratibu isimame na kuwa ngumu.
“Upo fasta baby,una dude zuri sana”
“niache nioge”
“nani kasema nikuache, labda nikuachaje kwa mfano?”
Alizungumza Consolatha huku nayeye akitoa kanga yake na kujikinga chini ya bomba linalotoa maji kwa juu

akijumuika na Adrian, hapo hapo alimfuata Mdomoni na kuanza kumnyonya mdomo huku mkono wake mmoja ukiwa una chua mshidede wa Adrian taratibu alivyo hisi ume sha kua mgumu kama kiazi mbatata au embe bichi alichuchumaa na kuuweka mzigo wa Adrian mdomoni na kuanza kuunyonya kiufanisi kabisa na kuanza kujipa huduma Mwenyewe,

alipitisha mkono chini na kuanza kucheza na kengele za Adrian na kumfanya KIDUME Adrian aanze kupiga kelele chini chini,
mambo yalikua murua kabisa , waliona kufanya kitendo hiko bafuni ilikua ni kosa kubwa la jinai walitembea mpaka kitandani na kubwagana juu ya kitanda kikubwa kisha kuanza kushikana na baadae mchezo huo wa kikubwa kuanza.

****
“Adrian chai Mume wangu, wahi kazini”
“poa baby”
Baada ya kukucha Consolatha alimuamsha na wote kuingia bafuni kuoga,alilifuata kabati  la nguo na kuvaa saa yake ya gharama kisha kuvaa shati jeusi na koti jeupe lenye kifungo kimoja wengi huliita single button,
Alijipulizia marashi na kuanza kushusha ngazi
taratibu ila alivyofungua mlango alikutana uso kwa uso na Beatrice Demu wa Imma aliye kua anataka kuingia ndani ya nyumba hio.
“Adrian mpenzi wangu”
“nina haraka sasa hivi nina kikao njoo baadae Beatrice”
Aliongea Adrian huku akimsukumiza Beatrice kwa nje ili consolatha aliye ndani asiweze kuona na kujua. alijua sana fujo za Consolatha ni mwanamke anaye jiamini na mwenye mdomo mchafu pengine kuliko wana wake zake wote, alikua ni mzuri sana lakini ni mwingi wa maneno machafu.
“Baby vipi tena”?
Alitokea Consolatha kwa nyuma baada ya kusikia kelele zile kutoka nje
“mimi simuelewi huyu”
“Adrian leo hunielewi?”
“kwani umenisikiaje”?
Alichosikia Beatrice kutoka kwa Adrian hakuamini,aliumia sana kumuacha imma wake alimtizama mwanamke aliye kua ametanda mlangoni

alimkagua juu mpaka chini jinsi mwanamke huyo alivyokua mzuri hata kumzidi yeye, picha ilitosha kabisa kuelezea nini kinaendelea sababu alikua amezaa taulo la Adrian.
“dada nenda usi tafute balaa asubuhi kwa watu, tafadhali nenda tu leo nime amka vizuri”
Alizungumza Consolatha akiwa ameweka mkono wake mlangoni, kipindi hiko Adrian hakuongea lolote alinyoosha moja kwa moja kwenye gari lake, ila kabla ya kufika popote Beatrice alimvuta na kumnasa kibao  cha shavu kilicholia tasaa!,
Adrian alitabasamu kidogo, hiyo ndiyo ilikua  moja ya tabia yake akikasirika huwa anatabasamu kwanza alimtandika kofi Beatrice na kumpiga tena kofi zito ambalo lilimfanya aende chini mzima mzima,
“shenzi wewe, toka kwangu”

Aliropoka Adrian akiwa mwenye jazba akihema juu juu
“Adrian una nipiga mimi”?
“nita kubatua tena embu toka kwangu, wewe kimtiii njoo umtoe huyu kahaba”
“mimi kahaba”?
“ebwana nenda Bite!”

Alicho fanya Beatrice alisimama na kuokota chuma kilicho kua chini na moja kwa moja kuelekea kwenye gari aina ya AUDI na kupigiza chuma kile kwenye kioo cha mbele, Adrin aliweka mikono yake kichwani na kuachia kinywa chake wazi baada ya kuona kioo cha gari lake kime pasuka,
Hakua na chaguo lingine zaidi ya kupiga simu polisi waje kwake sababu aliamini kuwa ana hasira sana na ange mpiga mwanamke huyo na kumuuwa. Baada ya dakika tatu tayari polisi wawiili waliingia ndani na kupewa maagizo wamchukue Beatrice.
“mwekeni ndani mpaka ndugu zake au yeye atakapo lipa gari yangu,”
“sawa”
Beatrice alichukuliwa msobe msobe na polisi wale na kuondoka nae mpaka kituoni huku akilia kama mtoto mdogo wakati huo,
“alafu sija malizana nawewe ukirudi unieleze vizuri huyo changudoa ni nani yako mpaka anajiamini na kuja kufanya fujo hapa nyumbani”!
Alizungumza consolatha.
Adrian aliiingia ndani na kuchukua funguo za gari nyingine kisha kuondoka zake kwenda kazini , kweli katika akili yake alikua kesha vurugwa asubuhi hiyo, alivyo fika ofisini kwake hakumsemesha mtu yoyote Yule alimpita mpaka Martha ambaye alimla uroda kwenye gari usiku wa jana,
Aliingia na kufanya kazi alizokuta mezani na pale pale kumuona Martha kaingia na vitabu mikononi mwake.
“Bosi, una takiwa kusaini hapa”
“njoo baadae”
“kwani kuna nini”?
“njoo baadae Martha sasa hivi sipo sawa kabisa”

Ghafla simu yake ya mezani iliita baada ya kuipokea aliambiwa kuwa ana mgeni ivyo aliiitikia kua mgeni aingie ofisini kwake sababu ni muda mrefu sana tangu waachane na rafiki yake huyo.
“Zackaria Muriba”
“naam naaam naaam MAFIA!”
“ha ha ha ha ha hilo jina la zamani, naona upo na shemeji”
“ndio huyu anaitwa Fiona”
“shemeji, mimi naitwa Adrian au Chif ukipenda niite Mafia”,
Adrian alimpa mkono Fiona na kutabasamu huku akiendelea kuzungumza na rafiki yake zakaria,
Katika maongezi yale ghafla simu ya Zackaria iliita na kuaga kuwa anaenda kuipokea nje, ilikua ni kosa kubwa kumuacha demu wake na Adrian, ilikua ni kama Deffence kuteleza ndani ya boxi huku mpira anao Christian Ronald hakuna kilicho fuata hapo zaidi ya mashabiki kuweka mikono yao juu wakisubiri shuti litakalo pigwa mpaka nyavuni.
Pale pale Adrian alitoa simu yake kubwa na kumkabidhi Fiona aandike namba zake za simu.

ITAENDELEA......

No comments

Powered by Blogger.