Header Ads

Nitampata wapi kama Yule sehemu ya 3

NITAMPATA WAPI KAMA YULE :03
STORI:ABDALLAH &NASEEB
NAMBA:0657932402
               0656556158
Endelea........................


alianza safari yake kuelekea shuleni huku mawazo ya kimtawala,hakujua kipi atafanya endapo tuu atakutana na naseeb,,upendo aliokuwa nao haukuweza kuelezeka,kichwani vilipita vitu vingi sana,siku hiyo hakuwa anaenda shule kwa ajili ya kusoma bali alienda kwa azma ya kukutana na mtu wake alietaka kukutana nae.


safari yake haikuwa ndefu sana ,kwani uwepo wa usafiri kwao ulikuwa una mrahisishia kuwahi shuleni hapo.
hazikutimia dakika nyingi alikuwa kashafika shuleni hapo,akachukua kilicho chake na hapo safari ya kuingia ndani ya shule ikamuanza.

akiwa anafanya usafi huku mawazo mengi yakiwa kwa khadija ,huku akifikilia jinsi atakavyokuwa na mwanamke huyo wa kishua mara kengele ya mstarini ikapigwa na hapo ndio mawazo yote yakakata na kuelekea mstarini.

baada ya mawili matatu ya walimu,waliamrishwa waingie madarasani kwao,
hakuwa mtu aliyetulia toka awepo mstarini mbaka hapo alipoingia darasani ,mda wote alikuwa anamtafuta khadija bila ya mafanikio,lakin alijipa moyo kuwa khadija atakuja na hapo ndio alipoanza kushika kitabu na kujisomea masomo yake.


baada ya kuingia shuleni hapo alishangaa sana kukuta kumepoa ,aligundua mda huo ni mda wa kuingia darasani kwa maana kwamba yeye atakuwa amechelewa.
mdogo mdogo akaanza kuelekea darasani kwake lakini siku hiyo bahati haikuwa kwake akakamatwa na mwalimu Elias.

hakuwa mwalimu wa mchezo hata siku moja,aliuchukia sana uchelewaji,alikuwa mwalimu anayeogopwa sana na wanafunzi wake,hakua mwalimu wa mzaha mzaha,aliwapiga wanafunzi wachelewaji kila pale tu alipowaona .kakini licha ya hivyo hakuwa na tabia nzuri.
alikuwa mtu wa wasichana sana ,alishawamaliza walimu wengi,pesa kwake haikuwa tatizo,uhitaji wa pesa kwa walimu wasubirio mwisho wa mwezi ulimfanya yeye kupata nafasi ya kuzini nao.

baada ya kujihakikishia walimu takribani wote teari kashawavua nguo ndipo alipoamia kwa wanafunzi.
*****************************

kumuona akinyata kuingia darasani kulimaanisha kuchelewa ,hakuwa na lolote la kujitetea hapo mwalimu Elias kama wamuitavyo wanafunzi akaanza kumgombeza.

Kwanini umechelewa?
samahani mwalimu halikuwa kusudio langu ila foleni zimenifanya nichelewe nakuomba mwalimu usiniazibu"alijibu khadija.
Nakuruhusu uingie darasani ila baadae unitafute sawa kijana.
Ndi....ndi.....ndio mwalimu "alijibu khadija.
hapo khadija akapata uafadhali na safari yake ikaanza kuingia darasani.


aliingia darasani hata alipofika hakuwa na la kufanya zaidi ya mawazo kumtawala hakuwa anamfikiria mwalimu Elias bali mawazo yalikuwa yapo kwa Naseeb,hawakuwa wanasoma darasa moja ,alikaa mpaka mwalimu alipoingia na kuanza kufundisha.

saa 5 :00 ilipofika ikiwa ni mda wa mapumziko alitoka kwa ajili ya kumtafuta naseeb.hata alipomuona alikuwa na furaha sana mpaka hapo walipokumbatiana na kuanza kuongea.
mambo habibty"
poa my love jamani ulikuwa unanipa wasiwasi"
kwa nini mpenzi"
nimewahi kwa ajili yako ,kila nilipokuangalia sikukuona mpaka nikafikiria kuondoka khadija."
pole mpenz wangu nilichelewa kuamka ,nilikuwa na kuwaza wewe tu ila baby twende tukale kwanza.

na hapo ndipo safari ikawachukua ya kuelekea mgahawani.

hata walipofika waliagiza walichokihitaji huku ahadi kibao za mapenz wakiwekeana.kwa kuwa wote walikuwa wageni wa mapenzi walitamani waonjeshane ladha za vinywa vyao lakini walishindwa kutokana sehemu ilipo na hapo ndio walipopanga itakapo fika saa 8:00 mchana khadija atampeleka naseeb huku kwenye gari watafanya wanachokitaka.



baada ya robo saa kengele ya darasani ikagongwa na wanafunzi kutawanyika sehem walipokuwa na kuelekea madarasani.
hata walipofika hawakutaka tena mzaha kila mmoja akaanza kujisomea masomo yake.
mwenye kukokotoa akawa anakokotoa ,mwenye kushika kitabu cha history ,mwenye kushika geograph hata wale wa viswahili walijisomea ,mbaka saa 8:00 inafika kila mtu alikuwa kashakipata alichokifata shuleni.

walichukuana kama walivyoahidiana hata walipofika kwenye gari wakapanda pamoja na safari yao kuanza.
baada ya mwendo kidogo khadija akaamua kupaki gari sehem na hapo ndio alipomrukia naseeb na kuanza kubadilishana mate.

kweli mapenzi hayafundishwi,ukifika umri wako wewe mwenyewe utayajua.na haya ndiyo yaliyotokea kwa Naseeb na Khadija.
hawakuwahi kufanya vitu hivi kabla lakini walitaka kujidhihirishia kuwa kweli watu wafanyao vitu hivi walikuwa wanapata raha gani.

hapo wakaendelea kunyonyana huku mkono wa naseeb ukishuka,mbaka alipofikia kitu kile alichokikusudia hapo ndipo alipoanza kubinyabinya huku sauti za puani zikisisika kutoka kwa khadija
Ahhhhhhghg ishhhhhhg uuiiiiiiii ahhhhhhh na seeb jaman unaniu..mi z aghh

ITAENDELEA...................................
SAPPORT YAKO TUU NDIO ITAKAYOIFANYA STORI HII IENDELEE.

LIKE,COMENT,TAG ILIMLADI IWAFIKIE WATU WOTE WAPATE BURUDANI.
UKIITAKA YOTE NITAFUTE WATSAPP
NAMBA:0657932402

No comments

Powered by Blogger.