Header Ads

Kafara ya damu sehemu ya 3

KAFARA YA DAMU :03
STORI ZA NASEEB
MTUZI : NASEEB .H. MAKUKA
NAMBAA:0657932402
NIMEWAITENI   ENYI WANA JAMII YA ZINDABA  KWA LENGO  MOJA TUU,NAZANI MLIKUWA MNALALAMIKA SANA JUU YA KIZAZI HIKI CHA ZINDABA HAKINA WANAWAKE  ,BASI HUYO MTU HAPO CHINI NDIYO SULUHISHO LA MATATIZO YA WATU WA ZINDABA.
Endelea………………………………………………………………………….

Baada ya kuyasema maneno hayo jitu lile ,likanyosha mikono kuelekea juu  ,kwa hali isiyotegemewa na watu wale wa jamii za zindaba,kisu kilionekana kipo mikononi mwa mkono wa kulia kwa jitu lile huku kushoto akiwa na ungaunga mweusi.

Akanzaa kumkalibia  kijana Yule aliyefahamika kwa jina la naseeb,punde tuu alifika sehemu aliyokuwa kijana Yule ,akamshika katika paji lake la uso na kuanza kuongea maneno anayoyajua mwenyewe
“JUMAA TUU ZINDABAA AAAA      NA UNEE TUU TAWALAAAAAAAAA    KIMAA TULIKOGOMBOKAA,TULI MA TATIZO YETUUU,EWEEEE BUKULUTUUU EEEWEEE MNGBBAAAAAA ,JIM TU  WAANA ZINDABAAA IKIWA HII KAMA KAFARAAAAA”
lilimaliza jitu hilo kuongea lunga aliyoiyelewa yeye mwenyewe,cha ajabu baada ya kuyasema maneno  yale ghafra upepo mkali ukaanza kuvuma ,mara ghafla kijana Yule akanyanyuka.
Baada ya kunyanyuka lile jitu likatuma watu wa mvue nguo zake,  kijana Yule   hakuwa mwenye kubisha alisimama tuuu  na hakuwa  anaelewa chochote kitachotokea.

Alivuliwa nguo ikiwa ni utekelezaji wa agizo lilotoka kwa jitu lile,mara jitu  lile likashika tupu ya mbele ya kijana aitwae naseeb na kuanza kuikata kata mfano wa mtu mtu amenyae embe  kasha kuweka pilipili ndani yake,”naam na hilo jitu lilikuwa linafanya hivyo hukata kidogo kasha humiminia ule ungaunga .

JAMII  YA  CHIDABO
Ukiwa muda ule ule wa jamiii ya zindaba waliokutana  kutatua matatizo yao hali kadhalika vile vile jamii ya chidabo walikutana kwa ajili hiyo
ZINDABA NA CHIDABO  ni jamii mbili tofauti ambazo zilikuwa zikipigana vita toka zamani,jamii hizi zote mbili hazikuwai kuwa na wanawake ,huenda ukajiuliza walikuwa wanazaliyana vip?
Jamii hizi zote  huingiliana wao kwa wao ikiwa ni katika njia ya kutafuta watoto,lakini cha kushangaza zaidi hakuna hata mmoja aliyemuingilia mwenzake akapata mtoto wa kike,cha kushangaza miaka yote huzaliwa wanaume tuu na hiyo  ndio sababu ya wao kukutana mahala pale,

JAMII YA ZINDABA
Baada ya kumaliza kumwagia unga unga kijana Yule ,akaamrisha watu wake wa mzunguke,hapo hapo watu wale wakatii amri yake.
Walimzunguka kijana Yule kwa takriban nusu saa,hata walipomaliza waliamrishwa wapotee kwenda majumbani kwao kulala.
Jitu lile nalo likamwagia ungaunga na kupotea machoni mwakek,nalo nay eye likafanya kama alivyomfanyia kijana Yule kwa maana ya kwamba nay eye akapotea.
ITAENDELEA………………………………………………………….
USIKOSE KUUNGANA NA MIMI HAPA KWA MUENDELEZO WAKE
PIGA 0657932402
KWA USHAULI ZAIDI

No comments

Powered by Blogger.