Header Ads

HII NDIYO JINSI YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA JINSI YA KUJUA SIKU YAKO YA HATARI YA KUPATA MIMBA




Siku za hatari za mwanamke ni zipi?
Hizi ni siku ambazo mwanamke akishiriki ngono bila kutumia kinga anapata ujauzito bila wasiwasi wowote labda kama ana matatizo yanayomfanya asibebe mimba au mwanaume wake ana matatizo.

Utazijuaje siku hizo?
Kwanza kabisa ili ujue siku zako za hatari lazima ujue idadi ya siku za mzunguko wako. Kuna aina tatu za mzunguko.. mzunguko mrefu ambao unachukua siku 35, mzunguko mfupi unaochukua siku 25 na ule wa kawaida unaochukua siku 28 na ndio mzunguko ambao watu wengi wanao.

Unajuaje mzunguko wako?
Hesabu siku tangu siku ile ya kwanza uliyoona siku zako za hedhi mpaka siku moja kabla ya kuona siku zako za hedhi zinazofuata. Unashauriwa uchukue miezi mitatu mpaka  sita ukihesabu ili ue na uhakika kwamba mzunguko wa tarehe zako haubadiliki, kama umeshahesabu siku za nyuma kabla ya kusoma makala hii ni vizuri pia. Mfano umeanza kuona siku zako tarehe moja mwezi wa nne alafu ziko zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne, chukua 29 toa 1 utapata 28.. maana yake wewe unamzunguko wa siku 28.

Je siku za hatari ni zipi?


siku ya hatari ni siku ya 14 kabla ya kuona hedhi inayofuata na sio siku ya 14 baada ya kuona hedhi iliyopita na hapa ndio watu wengi wanachanganya na kupata mimba.

Mfano kama mzunguko wako ni siku wa kawaida siku  28, chukua 28 toa 14 utapata 14. Hivyo siku yako ya hatari ni siku ya 14, lakini kwa kua mbegu ya kiume inaweza kuishi mpaka siku tano na yai la kike linaweza kuishi mpaka masaa 24 ndani ya mfuko wa uzazi basi siku nne kabla na siku moja baada ya siku ya 14 ni hatari hivyo siku za hatari ni ni siku ya 10,11,12,13,14 na 15.

Kama mzunguko wako ni mrefu labda  siku 36 basi chukua 36 toa 14 utapata 22. Hivyo siku ya 22 ni hatari na zingine ni 18,19,20,21,22 na 23.

Kama mzunguko wako ni mfupi, mfano mzunguko wa siku 21, sasa ukichukua 21 ukatoa 14 unapata 7 yaani siku ya saba ni hatari kwa huyu mtu.hivyo siku zingine za hatari ni 3,4,5,6,7[mtoto wa kiume] na 8.


Dalili kwamba uko kwenye siku za hatari ni zipi?
Kuongezeka kwa joto kidogo, tumbo kuuma kidogo, na ute mweupe kutoka sehemu za siri..

JINSI YA KUHESABU SIKU ZA HATARI ZA KUSHIKA MIMBA
Naomba ieleweke kwamba wanawake wametofautiana kwa asilimia kubwa sana ktika mzunguko wao wa bleed hivyo kwa utangulizi tuu kuwa makini na jinsi unavyoanza bleed ili iweze kukusaidia katiaka kuhesabu kwako siku za hatari ..Na si kulinganisha siku ambayo labda ulianza sawa na rafiki yako....

  1:16 days abnormal
2:18 days abnormal
3: 21 day cycle abnormal

4: 28 day cycle which is normal

5:30 days cycle which is normal

6: 32 days cycle which is normal

7: 33 , 35, 40 or more this is abnormal


How to calculate 16 day m -cycle {jinsi ya kuhesabu siku zako}

mfano: umeanza kubleed leo tarehe 9 / 7/2009 kwa hiyo chukua daftari na andika na hesabu moja. hesabu kuanzia hapo mpaka utakapo fika 16 na ujua siku ya kumi na sita itaangukia tarehe ngapi? utakuja kuona siku ya 16 inaangukia tarehe 24/7/2009 hivyo your next bleed should start 25/7/2009. hivyo hivyo utaanza kuhesabu kutoka tarehe 25/7/2009 mpaka kumi na sita na utakuja kungundua kuwa siku ya kumi na sita itakuwa ni tarehe 9/8/2009. hivyo inatakiwa uanze kubleed tarehe 10/8/2009. hivyo utakuwa unahesabu vivyo kila mwezi.

Hivyo basi wanawake wanaobleed within 18 days and below huwa wana matatizo hivyo wanatakiwa waende kumuona daktari kwani kitaalamu sio sahihi. hivyo ikitokea mke wako anableed for 18 DAYS CYCLE MPELEKE hospitali akapate ushari.

Angalizo: kuna wanawake wanaokuwa na cycle ya 24 or 26 days
[U]
WANAWAKE WANAOBLEED 28 DAYS HOW TO CALCULATE SAFE DATE AND SIKU ZA MIMBA AS OTHERS SAID BEFORE[/U]
MFANO
UMEANZA KUBLEED LEO TAHERE 9/7/2009 NA UNA MZUNGUKO WA SIKU 28

9, 10,11,12,13,14,15,16,17,18,19, 20,21,22,23,24,25,26,27,28,29, 30,31/JULY
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5/AUGUST
24 25 26 27 28

HIVYO THE NEXT BLEED WILL BE TAREHE 6/AUGUST 2009
RED MEANS SIKU ZA HATARI

HIVYO BASI SIKU SALAMA NI BAADA YA DAMU KUKATA UNAWEZA KUANZA KUMTUMIA MAMA LAKINI IKIFIKA SIKU YA KUMI NA TATU YAI KUWA LIKO YATARI NA HUANZA KUSHUKA. KIPINDI HIKI MAMA HUTOKWA NA UTE MZITO WA KUNATA AMBAO HUWA NI DAWA KWA AJILI YA KULINDA NA KUTENGENEZA MJI WA MIMBA KUWA TAYARI KUPOKEA MBEGU ZA KIUME KWA AJIRI YA URUTUBISHO .HIVYO MBEGU ZA BABA HUWEZA HUSAFIRI KWA URAHISI ZAIDI KATIKA MAJI MAJI HAYA.

WANAWAKE WENYE SIKU 30 CYCLE

ASSUME AMEANZA LEO TAREHE 9/7/2009

9,10.11.12.13,14,15,16,17,18,1 9,20,21,22,23,24,25,26,27,28,2 9,30,31/JULY
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23

1, 2, 3, 4, 5, 6, 7 /AUGUST
24 25 26 27 28 29 30

HIVYO THE NEXT BLEED ITAKUWA TAREHE 8/8/2009

ANGALIA TOFAUTI KATI YA MTU ANAYEBLEED KWA SIKU 28 NA 30. MY LOGIC IS YAI HUCHUKUA SIKU KUMI NA NNE KUHARIBIKA BAADA YA KUKOSA KIRUTUBISHO. HIVYO HATA MWANAMKE AWE ANA CYCLE YA 16,18,20,24,26,28.30.32.34 OR 40 OR MORE. ITACHUKUA SIKU KUMI NA NNE ILI YAI LAKE LIWEKE KUHARIBIKA. NA SIKU YA KUMI NA TANO NDIO HUWA SIKU YA KWANZA KUANZA KUBLEED YAANI YAI LIMEKOSA KIRUTUBISHO.

VIVYO ANZA KUHESABU KUANZIA SIKU YA TAREHE 28 KURUDI NYUMA UTAKUTA KUWA SIKU YA KUMI NA NNE NI TAREHE 23. HIVYO SIKU YA HARATARI ITAKUWA TAREHE 22 LAKINI KWA KUWA YAI HUCHUKUA SAA 72 WAKATI LIKISUBIRI KIRUTUBISHO NDIO MAANA TUNAANZA NA SIKU YA 13 , 14, 15 TOKEA PALE ULIPOBLEED.

NA KWA MWANAMAMA ANAYECHUKUA SIKU 30 UKIHESABU KUANZIA 30 KURUDI NYUMA UTAGUNDUA KUWA SIKU YA 14 NI TAREHE 25/7

HIVYO SIKU YA HATARI NI TAREHE 24/7 NA KWA SABAU YAI HUKAA SIKU TATU HIVYO TAREHE 23,24, NA 25/7 /2009 AMBAZO NI SAWA NA SIKU YA 16, 17, NA 17 KATIKA KUHESABU CYCLE

YULE WA SIKU THELATHINI NA MBILI ITAKIWA SIKU YA HATARI NI YA 18 NA SIKU ZAKE TATU ZA HATARI NI 17, 18 NA 19 AMBAZO TAREHE 25,26,27/JULY KAMA SIKU ZAKE ZA HATARI.......

6 comments:

  1. ahsànte sana nimeelewa vizuri

    ReplyDelete
  2. Asanteee kwa somo ila mm Nina shda mzunguko Wang haujatulia coz sometimes nableed baad ya sk 30,32 au 33 Sasa juz nikaingia mp baad ya sk 27 nikaona n normal coz nlibadilisha mazingira and nkasex sku ya 7 je yawezekana nikaw n mjamzito manak ad sas sjaona sk zangu and nlivo sex nlikaa sku tano nkapima nikajikuta nko safe sas inakuwaj spat sku zangu Tena??? Au mzunguko utakuwa umerud kwny sk 30 na kuendelea???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Una tatizo la homon imbalance bect nicheki kwa namba hii ili kupata ushauri zaid 0767507074

      Delete
    2. Mim nmeingia period treh 24 had 28 sku zngu za hatrii ni zipi

      Delete
  3. Hello everyone, I want to say a special thanks to Dr OGU. for helping me get cured from herpes virus 2019 , I contacted him base on the testimonies I saw about him on the internet I was diagnosed of HERPES Virus i have tried all I can to get cured but all to know avail, until i saw a post in a health forum about a herbal man who prepare herbal medication to cure all kind of diseases including HERPES virus, at first i doubted if it was real but decided to give it a try I was cured by his herbal medicine and natural herbs, kindly contact him today through his email: drogugusolutionhome@gmail.com or text/call: +1 (719) 629 0982

    He’s waiting to help you.


    HE ALSO SPECIALIZE IN THE FOLLOWING Illness;

    If you have any sickness like : H I V/AIDS , CANCER , HERPES HSV 1 or 2 , GENITAL WARTS, Yeast-infection's (HPV), and

    Hepatitis A, B. liver diseases , Stroke, Chlamydia, Genital herpes, Alzheimer’s, Trichomoniasis , Tuberculosis, CAD, Gonorrhea, Epilepsy, and Syphilis.

    ReplyDelete
  4. Ahsante sana elimu nzuri sana unayoitoa,mi naomba kuuliza je ikiwa mama/msichana akafanya mapenzi siku yake ya pili tangu aanze bleed atapata mimba?pia kama tar ya breed kuanza ni tar 27/8/2021 je tarehe ya bleed inayofuta inawezakuwa ni ipi?

    ReplyDelete

Powered by Blogger.