Header Ads

OKOA MATATIZO YA FIGO KWA KUZINGATIA MAMBO 10 YAFATAYO





Epuka matatizo ya figo kwa kufanya mambo yafatayo

Okoa 
1.Kukaa na mkojo kwa muda mrefu/Kubana mkojo muda mrefu



2.Kutokunywa maji ya kutosha kila siku


3.Matumizi ya chumvi kupita kiasi/Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango


4.Kula nyama mara nyingi

5.Kutokula chakula cha kutosha

6.Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi

7.Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu

8.Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
9.Kunywa pombe kupita kiasi

10.Kutopata muda wa kutosha kupumzika

Kunywa glasi 2 za juisi ya parachichi kila siku kutaziweka figo zako katika hali ya usafi na afya.





















No comments

Powered by Blogger.