Header Ads

Faida ya Asali kwa binadamu

MAJI YA UVUGUVUGU NA ASALI

Anza siku yako kwa kunywa MAJI YA UVUGUVUGU yaliyochangwa na ASALI hasa ya NYUKI WADOGO kila siku asubuhi na mapema wakati tumbo likiwa tupu, faida ni nyingi kama vile:-

1. KUPUNGUZA UZITO
2. KUUPA MWILI NGUVU HARAKA
3. KUONGEZA KASI YA KUMENG'ENYA CHAKULA
4. INASAIDIA KUSAFISHA KIBOFU CHA MKOJO NA KUKUKINGA NA MAGONJWA KAMA UTI

Kwa mahitaji ya ASALI YA NYUKI WADOGO wasiliana nasi INBOX, 0683370065 au 0769129351

Wajulishe na wengine kwa KUSHARE kwa wingi na usiache KULIKE PAGE yetu.

KULA ASALI KWA AFYA BORA

No comments

Powered by Blogger.