Header Ads

Kulegea kwa misuli ya uke (vaginal prolapse)

KULEGEA KWA MISULI YA UKE (VAGINAL PROLAPSE)

Kulegea kwa misuli ya uke ni hali ya mama kulegewa na pelvic organs zake kama mlango wa uzazi,urethra, au mfumo wa kutolea mkojo (bladder) na kumfanya kutokuwa kwenye hali  ya kawaida,uke unatanuka kwa ndani.



Kulegea kwa uke wa mwanamke kupo kwa aina tofauti

Prolapse of bladder -kuta za uke za mbele zinapolegea (prolapse of bladder) zinamsababishia mwanamke kushindwa kuhimilia kubana kibofu cha mkojo na kujikuta mkojo unatoka bila kujijua wakati wa kukohoa,kupiga chafya au akiwa anafanya mazoezi.

Enterocele-misuli ya uke inapolegea sababu ya mishipa ya mbele na nyuma ya uke inajitenga ina kuja kusababisha misuli  yote ya kulegea kutokukaza.

Kulegea kwa mishipa ya uterus.

Hili tatizo la kulegea kwa mishipa ya ukeni inawapata wanawake wengi wakifika kwenye umri mkubwa kipindi cha (menopause) na wengine wanapata kipindi cha kujifungua  mtoto ( childbirth).Wanawake wengi wanaona aibu kwenda hospital kuomba ushauria ua tiba wanakaa kimya tu .

Sababu zinazosababisha kulegea kwa uke
📁Childbirth-mama anapojifungua ikawa amejifungua kwa complations nyingi inachangia kuharibu tissue ,misuli za ukeni na kuchangia kulegea

📁Multiple birth-mama mtoto zaidi ya mmoja yani mapacha 2,3,4 na kuendelea wanauwezo wa kulegea kwa misuli ila kumbuka sio kila mama hapo inategema kila mtu na mwili wake ,wengine wanaweza zaa mapacha na misuli ya uke isilegee.

📁Menopause ostrogen-ni hormones anazokuwa nazo kila mwanamke zinasaidia kuafanya pelvic organs zake kiwe na nguvu zaidi ,ila mwanamke anapofikisha miaka 40-50 zile hormones zinapungua kuzalishwa na ndio hapo mwanamke anapata tatizo la kulegea kwa misuli ya uke.

📁Umri mkubwa -wanawake wenye umri miaka 50 na kuendelea wanahatari ya kulegea kwa misuli.

📁Uzito mkubwa-mwanamke mnene anaweza pata tatizo la kulegea kwa uke

Wanawake wengine wanazaliwa tayari wakiwa na mapungufu haya ya kulegea kwa uke

📁Kuzaa kwa karibu karibu -watoto kupishana umri mdogo sana kunasababisha misuli ya uke kulegea

📁kusukuma mtoto kwa muda mrefu sana
📁 Ukubwa wa mtoto
📁 Kuchanwa au kuchanika sana wakati wa kujifungua

📁 Ama mtoto alivutwa wakati wa kutoka

Dalili ya kulegea kwa misuli ya uke
📂Mwanamke atahisi kama kuna nyama iyiootea kwa nje na kuning’inia au kwa ndani  na inazuia kidole kuingia wakati wa kujisafisha kwa wale wanaotumia vidole

📂Kutokusikia hamu ya tendo la ndoa,kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa kutokwa maji maji na kupata michubuko

📂Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

📂Maumivu ya mgongo

📂Kutokwa damu ukeni bila siku zako kufika

swala lote la uzazi kibiologia linaleta athari katika mfumo mzima wa uzazi  hasa sehemu za (ukeni) .kujifungua kwa kawaida au c-section (operation) kunaweza leta complication na kufanya raha ya mapenzi isiwepo.

Wakati mwanamke anapata uchungu /kujifungua kuruhusu kichwa kupita nje ya mji wa mimba kwa kupitia uke . hatua hii huweza kusababisha mikwaruzo, kuvimba na maumivu katika ukuta wa uke

Athari za matatizo hayo yanaleta
📆kuondokewa na hisia za kimapenzi au mama kupata maumivu makali akikutana kimwili.
📆Na swala la kutokutana kimwili huleta athari zingine ambazo hupelekea mahusiano kuwa mabaya zaidi.
📆Mwanamke anaanza kutojiamini, anajinyanyapaa, hariziki na tendo la ndoa na mwisho ugomvi ama kutoka nje ya ndoa.

Nini kifanyike:
➡mwanamke ambaye anahisi kuna utofauti kabla na baada ya kujifungua. Kwanza jaribu kuingiza vidole viwili visafi vilichooshwa na maji safi na sabuni ingiza sehemu za siri kama vinapita kwa urahisi jua uke umeongezeka zimepanuka , weka viwe vitatu ukiona vinaongia bila tatizo weka  na cha nne nacho kikapita jua umepata tatizo la kutanuka kwa misuli ya ukeni ,na iwapo umeweka kidole cha kwanza na kimepita kwa shida basi huna tatizo upo salama uke wako upo size ile ile ya kawaida.

Tiba ya kulegea kwa misuli ya uke
Matibabu yake yapo mama akiona dalili hizo hapo juu basi anatakiwa kwenda hospital  kumwona daktari wa magonjwa ya wanawake kumwangalia tatizo lake lipoje kuna baadhi ya vipimo atachukuliwa ,
By well Jambo

1 comment:

  1. Wasichana wenye umri mdogo huweza kupata tatizo la kutanuka kwa uke

    ReplyDelete

Powered by Blogger.