Header Ads

Mungu hutumia vitu dhaifu kijitukuza

Kawaida ya Mungu hangalii hali, umri wa mtu ili kutenda matendo mkuu
Anaangalia kilichomo ndani ya nafasi ya mtu ili akitimize
Alimtumia Daudi kijana mdogo aliyedharaulika na mfalme Pamoja na watu wa nyumba yake
Lakini Mungu aliamua kutumia kitu dhaifu kijitukuza, alionekana kwa Daud alipo enda kupigana na goriati japo mfalme alionekana kupinga lakini goriati aliuwawa kwa uwezo wa Mungu kupitia kijana mdogo Daudi kwa kutumia silaha ndo hiyo dhaniwa (kombeo na jiwe).
Mungu anaweza yote haijarishi unapitia mambo gani mtegemee yeye atakutendea na Wewe.

No comments

Powered by Blogger.