Header Ads

Usiogope

"Usiogope mambo yatakayokupata, Tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe Mwaminifu Hata kufa, nami nitakupa taji ya Uzima" Ufunuo wa Yohana 2:10.

MUNGU asingesema "Usiogope" Ikiwa hakuna mambo ya kuogopesha! Na asingesema "Uwe Mwaminifu Hata kufa" Kama shetani asingetaka kukatisha Maisha yako pale unapo kuwa Mwaminifu kwa Bwana YESU .

Ni Maombi yetu kwako Damu ya YESU ikuondolee Hofu, na ikulinde ili uzidi kuwa Mwaminifu kwa Bwana

Ubarikiwe
By well Jambo

No comments

Powered by Blogger.