Header Ads

Mchachuko sehemu ya 12

MCHACHUKO….(12)

MTUNZI….EMMANUEL F.

ILIPOISHIA

“kwaio umeamua kufanya ufuska ndani kwangu kimti, nilikwambia nini una kuja na mwana mke wako unafanya nae mambo yako chumba cha nje kile”
Adrian alirusha kofi lingine lililo mfanya Mlinzi yule aende tena chini, na kusimama tena
“Bosi Bosi, sielewi unaongelea nini”?
Adrian alikunja uso wake na kujifanya kuigiza ila Consolatha bado alitafsiri ule ni kama usanii.

SONGA NAYO.

Moyo ulizidi kumwenda mbio Adrian hasa alipomuona Fiona amejitokeza, Consolatha aligeuka kwa jazba na kutulia kidogo huku akisubiri ni kipi kinge fuata bado alikua akimsubiri mwanamke huyo aliyesimama mbele yake aongee chochote kile.
“kaka naomba utusamehe”
Alizumgumza Fiona huku akimtizama Adrian kwa macho yalijoyaa huruma sana.
“kwani huyu alikuambia nini”?
Alidakia Adrian na kufanya maigizo yale
“mimi aliniambia hapa kwake”
“aya potea upesi”
“No, subiri hapo hapo dada unataka kwenda wapi”?
Alizungumza Consolatha huku akimshika mkono Fiona kwa hasira, alimpandisha juu mpaka chini akimnyali na kumkanya asirudie tena, hakujua kuwa ule ulikua ni usanii wa bongo muvi.
“potea upesi, nawewe kimti hii nyumba sio dangulo”

Consolatha alimaliza na kuingia ndani na Adrian ambaye bado alikua haamini kama mchezo ule wa maigizo unge fanikiwa kwa wakati ule,alijiona bingwa na msanii mzuri wa kuigiza

Consolatha alinyoosha mpaka ndani  jikoni na kuanza kupika chai  huku Adrian akiwa anaoga baada ya hapo alitoka akiwa amependeza kabisa alivaa saa yake ya ROLEX na kuchukua kiasi cha pesa kingi kwa ajili ya kwenda kuhifandhi bank,
alimfuata Consolatha na kumkabidhi elfu hamsini ya kama matumizi,, katika kugharamia mwanaume huyu hakuwa bahili hata kidogo wenda ndo maana warembo hawataki kumwacha kwa ajili ya hilo.
“jamani ahsante mume wangu, sasa haunywi chai, kwanza umependeza sana baby wangu,”
“ahsante leo ina nibidi niwahi”
“alafu nataka nikakutambulishe kwa dada yangu yule aliye toka marekani”
“yupi yule Leila”?
“huyo huyo”
“kesharudi”?
“ndio tena tuta kua na Hellen”
Adrian aliwaza pale pale na kumkumbuka Hellen mwanamke huyo ambaye alishawahi kumla uroda kwenye maji ya swimming pool Moshi ambapo alikua ni rafiki yake kipenzi na consolatha,
“ kesho lazima nisikose, leo nina pesa alafu ni ijumaa, nataka tutoke yule changudoa kanipa nusu ya pesa yangu ya gari”
“yule aliyevunja gari”?
“usiseme gari sema ndege ndogo ndege ya ardhini, hili gari watu wawili tu ndo tunalo mimi na tajiri mmoja yupo Mwanza anaitwa Hassan UKwaju basi”
“baby basi wahi ofisini maana kwa kujisifu”
Consolatha alijisogeza kwa Adrian na kubadilishana mate, baada ya hapo alitoka nje na kuliendea gari lake,aliendesha taratibu mpaka ppf towers ofisini kwake na kuweka tai yake vizuri kabisa kisha kushuka,
alibonyeza lift na kuingia baada ya kufika namba mbili ilifunguka na kuingia mwana mke mweupe sana akiwa anabonyeza simu ya garama mwenye maringo kiasi.
“dada habari”
Adrian alivunja ukimnya ila mwanamke yule alimtizama na kukaa kimnya bila kujibu chochote
“dada mambo vipi”?

“safi”
Alijibu kifupi kuonekana kabisa hata mazoea
“unaelekea gorofa namba ngapi”?
Adrian alizidi kumchokoa mwanamke huyo ambaye alionekana mwenye maringo sana na midomo yenye dharau nyingi.
“vipi kwani”?
“sio kitu sio mbaya nikifahamu”
“basi sijisikii kukwambia”
“sio vizuri”
“we kaka vipi, please leave me(tafadhali niache)”

Adrian alijikoholesha na kuachana nae baada ya kutolewa nje na binti huyo kigoli, aliingia mpaka ofisini kwake na kuketi juu ya kiti, huku akirekebisha vitu vilivyo kua mezani pale, baada ya hapo Martha alimletea Kahawa na taratibu kuanza kuinywa huku akiyatizama mapaja ya Martha yaliyo kua yamenona sana na manene kiasi,
kweli binti huyo alijaaliwa kua na mapaja yenye supu na yenye mvuto,
Adrian alijikoholesha kama kawaida yake na kumtizama Martha kwa jicho la husda.
“mbona ivyo baba”?
“Mtoto wewe sichoki kukutizama”
“kwanini”?
“basi tu, embu sogea karibu”
Aliongea Adrian na Martha kusogea karibu alimvuta na kuanza kumlamba midomo na kuutoa ulimi wake ambao uligusana na ulimi wa Martha na kuanza kubadilishana mate kwa fujo,
Martha alifungua zipu ya bosi wake na kutoa TANGO la bosi Adrian ambalo lilikua limetuna tayari na kutoa misuli pembeni, alilishika kwa mikono yote miwili na kulibwia mdomoni kisha kuanza  kulilamba na kumfanya Adrian ahisi raha na kuangalia juu mbinguni kwa Mungu baba!.
“bosi sam…..”
Aliingia caro na kurudi alipotoka baada ya kuwaona wakila uroda ule hakutegemea, haraka haraka waliacha wana chokifanya kwa aibu Martha alijizoa zoa na kutoka nje ambapo baadae aliingia tena secretary caro.

“bosi samahani nimeingia bil…”
“usijali, una shida gani”?
“kuna dada Fulani hivi yupo hapo nje ana shida nawewe kweli kweli, yaani ni ya muhimu sana anavyo dai”
“ipi hiyo”?
“alikua anahitaji mkopo, sasa anahitaji kuonana na mkurugenzi anavyo dai”
“sawa mwambie apite”
Aliongea Adrian huku akiendelea kufunga mkanda wake sawa kabisa ili kusubiri mgeni huyo atakae kuja,
Mlango uligongwa na mwanamke huyo kuingia ndani ya ofisi yake, kumbu kumbu zake zilimrudisha ndani ya lifti muda mchache uliopita, alimkumbuka sana dada huyo ambaye alikua akimringia muda mfupi hapo awali.
“karibu kiti”
Mwana mke yule baada ya kukaa  vizuri na kumtizama Adrian alijikuta anaona aibu sana na kuweka sura yake chini huku aking’ata kucha zake za mikono sababu hakutegemea kuwa alimletea dharau bosi huyo ambaye ilikua ni lazima apewe mkopo wa pesa.
Na kushindwa kuelewa ni wapi aanze kuongea alishindwa kuelewa aanze na kuomba msamaha au kuanza kuelezea shida yake iliyo mpeleka ndani ya ofisi hiyo ya ALUATANI.
Adrian alimtizama mwanamke huyo ambaye alikua keya pandisha maziwa yake yaani boomz na kujikoholesha kidogo kama kawaida yake.

ITAENDELEA......

No comments

Powered by Blogger.