Header Ads

Mchachuko sehemu ya 23

MCHACHUKO……(23)
MTUNZI..EMMANUEL F. KWAY
AGE..(18+)
ILIPOISHIA

alipo mwangalia mwanamke huyo kifuani alivyo yapandisha maziwa yake kidogo na kufanya Jogoo  wake apande mtungi na kufurukuta ndani ya suruali.
“mi nisha kupenda ujue”
Adrian alijikuta akiropoka maneno hayo bila kujijua.
“hujatulia wewe umenipenda au umenitamani?”
“yote”
alijibu huku akizidi kuupapasa mkono wa Mourine kiganganjani mwake
SONGA NAYO

Mguu wake mmoja aliuweka juu ya bega lake na kuzidi kupeleka majeshi majeshi ndani ya mgodi wa Mourine huku akikatika taratibu sana bila papala juu ya kitanda chake kikubwa futi nyingi, kutokana na mwanamke huyo kuwa chakali sana hakuweza hata kubisha zaidi ya kuonesha ushirikiano,
mikao mingi tofauti aliyoambiwa akae na kutii kabisa,baada ya kutumia kifo cha mende kwa muda mrefu sasa alimuweka mbuzi kagoma kwenda kula majani,
Na kuzidi kupeleka mambo, na miguno ndiyo pekee na kelele za raha kusikika vizuri humo, alikua teyari Alisha mvua nguo mrembo Mourine aliye kua mweupe na mwenye sauti ya mahaba kupindukia,
Alikumbuka sana usiku wa jana alivyokua akimlopokea mpaka akaamua kumlewesha pombe kali na baada ya harusi ya Dedi Mwita kuisha yeye aliondoka na kigoli huyo vuup mpaka kwake Tegeta na kumyonyoa mabawa na kumla  kiulaini,
baada ya  kumfanyia utundu wote na kucheza na sehemu kuu kumi na
nne za mwili wa mwanamke na ndio hapo alipoanza mashambulizi na kupeleka majeshi ikuluni huku akiwa tayari na zana yake ya vitani, baada ya mbuzi kagoma kumalizika ilibidi amuweke SIX NINE ambapo Mourine alikua chini ananyonya BOMBA baada ya kutoa zana na yeye akiwa mgodini ana chimba madini akitumia ulimi wake taratibu mpaka walipofika sawa na hapo hapo kulala kama mizigo.

**
“Adriiiiian uwiiiiii Adriiiiii”
Sauti hiyo ndiyo iliyo mshtua asubuhi alizidi kuivuta sauti hiyo karibu kabisa na kugundua ilikua ya Felister binamu yake tena asubuhi asubuhi sana, alisimama haraka haraka na kuvaa taulo mpaka seblen na kumkuta Felista analia machozi ya uchungu sana huku akimlaumu kuwa amemponza.
“unasemaje?”
“Adrian nime bakwa”
“nini?”
“nime bakwa”
“kivipi...ilikuaje?”
Hapo ndipo Felister alianza kumuhadithia kila kitu kilicho tokea na kumpa ujumbe alio pewa na watu waliomfanyia kitendo hiko cha kinyama sana jana yake asubuhi.
“polisi ulienda?”
“ndio nime toka sasa hivi, nimeenda na hospitali nashukuru Mungu ha..wa kunipa Magon..njwa”
“huyu atakua nani sasa,atakua Salma, au Miriam, No noo hizi tabia anazo Tatu, lakini sidhani huyu ni moja kwa moja atakua Joyce kama sio Consolatha,la…”
“nyamaza huwezi kumjua una wana wake wengi sana, namimi nime kuja kukupa ujumbe kuwa usinishirikishe tena kwenye hayo maswala, sitaki sitaki sitaki kabisa”
“unakosea”
“niache, baki na umalaya wako”
Felister alifungua mlango na kuondoka zake nje akiwa mwenye hasira nyingi sana,
Baada ya kurudi ndani alimkuta bado Mourine amelala kitandani na kumuamsha ili aweze kujiandaa na aondoke zake sababu hata yeye siku yake ili haribika sana.
Alijiandaa na kuchukua funguo za gari lake Jeep sababu siku nyingi sana hakulitumia. Alilitia funguo na kuanza safari ya kuondoka zake huku akiweka mziki taratibu sana siku iyo ya jumamosi jioni aliamua kupita katika ofisi za NSSF kumuangalia,
Hafisa mikopo mzee Emmanuel Kway ofisini kwake gorofa namba kumi na tatu alivyo fika tu alikaribishwa moja kwa moja mpaka ofisini na kuketi pembeni ya Mzee Kway huku akiendelea kupiga stori za hapa na pale,
Waliongea mengi sana.
“pesa ngumu sana siku izi Adrian, pesa hakuna”
Alijibu Hafsa Kway
“aise ni kweli Mzee,nimeona leo nipite nikujulie hali mzee wangu”
“nashukuru sana mwanangu”
Kabla ya kukaa sawa aliingia binti mwenye mwili mdogo kiasi mweupe wa kung’aa aliyebana nywele kwa nyuma,
mikononi mwake alishika makaratasi na kumuendea Kway mezani na kuweka karatasi izo mezani kwake akihitaji zisainiwe,
Moyo wa Adrian ulimlipuka sana alimtizama msichana huyo mrembo na kubaki ameduwaa sana jinsi anavyoongea mpaka kutabasamu.
“sasa hapa, nenda karekebishe kidogo, hizi item za Stock una takiwa kuzipost kwenye General Receiving Note(GRN), ili kutunza kumbu kumbu za ofisi,  utazirekodi kwenye kompyuta”
Alisema Kway akitoa maelekezo hayo
“sawa bosi”
Dada huyo alijibu na kutoka nje bado Adrian alimuangalia kwa macho ya kuibia na kushindwa kukaa na duku duku hilo moyoni.
“Mzee Kway!”
“Naam”
“huyu ni secretary wako?”
“ndio sema sasa hivi anafanya Internship hapa ofisini”
“okay okay”
“vipi kijana?”
“hakuna shida anaitwa nani?”
“jaqlin, anaitwa jaqlin yupo na mwenzake ndugu yake anaitwa Fetty”
“sawa hakuna tabu wacha mi niende basi mzee”
“sawa karibu tena”
Adrian alitoka mbio mbio na kwa mbali alimuona Jaqlin akiwa na mwenzake aliye kua mnene kiasi wanaingia ndani ya Taxi hapo hapo alimuita na kumsogelea, huku akitabasamu.
“Jaqlin mimi naitwa Adrian, acha niwapeleke mnapoenda”
“hapana Ahsante, usafiri tumekodi”
“hapana nina usafiri wangu”
“wala usijali kaka”
Kitendo cha Jaqlin kujibu aliingia ndani ya Taxi,
Yeye hakutaka kumkosa Msichana huyo ndani ya moyo wake, aliiingia ndani ya gari lake haraka haraka na kuanza kuifukuzia Taxi hiyo akiifuata nyuma yake.
Sasa unaweza kusoma simulizi za mtunzi Kway insta@storyzakway

ITAENDELEA..................

No comments

Powered by Blogger.