Header Ads

Mchechuko sehemu ya 22

MCHACHUKO…..(22)
MTUNZI…EMMANUEL F. KWAY
Contact..+256756 322432
AGE..(18+)
ILIPOISHIA

“hapa hamuendi popote pale mimi ndiye mke wako”
Alifoka Sikuzani na kutanda mbele ya Adrian bila kujua kuwa mwanaume huyo ana mkono mwepesi sana na mwenye hasira za karibu.
Kama kawaida Adrian alitabasamu huku hasira ziki mpanda taratibu.

SONGA NAYO

“KUTU!”

Konde alilolikunja Adrian na kulirusha lilimfikia sikuzani kooni na kumpeleka chini chali sakafuni, huku gagulo lake likimfunika usoni mwake hapo chini sababu hakujiandaa wenda ndio maana alidondoka kama embe dodo mtini.
Adrian aliachia misonyo na kupandisha juu gorofani huku akiwa ameshika kiuno cha Nasra na  bila ya kugeuza shingo nyuma alipomuacha sikuzani analia sana.
Alibamiza mlango na kuingia bafuni kujimwagia maji.
“Namimi naaataaaka kuoga!”
Alisema Nasra kwa sauti ya kilevi akiwa teyari bafuni kwa Adrian akiwa bado na sabuni machoni. alivua mwenyewe nguo kisha kufungua bomba na kuingia kati kati ya bomba, hakukua na kingine kinachoendelea zaidi ya mabusu na kuvunja amri ya Sita, Adrian akiwa analamba embe dodo za Nasra kwa fujo sana huku akimsafisha safisha sehemu nyingi za mwili wake alikumbuka siku za nyuma alivyo mringia kwenye lifti na kutaka kumuonesha kuwa asije akafanya dharau ya aina yoyote Yule kwa mtu asiyemjua.

Walitoka bafuni na kuingia chumbani na Adrian kunyoosha mpaka kwenye friji ndogo na kutoa barafu na kuiweka juu ya ikulu ya mrembo huyo na kuanza kuifyonza hapo hapo ikiwa juu mpaka ilipoisha na kuanza sasa kuinyonya ikulu taratibu na wakati mwingine akitumia mikono yake taratibu,
Mambo yalikua ado ado huku oil ikipimwa kama ina mafuta, baada ya sekunde chache tayari aliona imejaa mafuta na sasa ilibaki kazi moja tu kuliwasha gari baada ya kumuandaa na kumshika kila sehemu ya  mwili wake..
Baada ya kuridhishana wote walilala chali wakiwa hoi wamechoka sana.

Wa kwanza kuamka alikua ni Nasra alioga haraka haraka na kumuacha Adrian amelala ila baada ya kufungua mlango alipiga kelele nyingi sana zilizomkurupua Adrian usingizini.
“wewe vipi?”
Aliuliza Adrian baada ya kushtuka.
“njoo uone”
“kuna nini?”
“njoo”
Adrian alisimama na kuufungua mlango hakuamini baada ya kuona maji yametapakaa chini mengi sana seblen, akili yake ili mtuma moja kwa moja atakua ni sikuzani kafanya kitendo kile wala sio mtu mwingine yoyote Yule.
Aliachia misonyo na kushuka ngazi haraka haraka akiwa na boxa bado mwilini mwake na kunyata taratibu huku akiyakanyaga maji seblen hapo,
hasira zilizidi kumpanda na kukunja sura hasa alipoangalia flat skrin yake kubwa ilivyokua chini tena imenolawana na maji kumaanisha kuwa imeharibika,
kila kitu kilikuwa vuvulu ndani hapo.
Alianza kuingia ndani ya vyumba vyote akimtafuta Sikuzani sababu alijua ndiye yeye wala sio mwingine atakae weza kufanya vitu vya ajabu.
“leo lazima nifungwe!”
Alizidi kuongea Adrian kwa hasira huku akibamiza bamiza Milango akimtafuta mwanamke huyo ambae bado hakujua amfanye nini endapo atakapo iona sura yake mbele ya macho yake, alimkosa kwenye vyumba vyote na kunyoosha mpaka nje getini na kumkuta kimti anakunywa chai na mihogo, hakutaka kumuongelesha alifungua geti na kuchungulia nje ya geti.
“we Kimti”
Aliita Adrian
“Abee eeh Naaam bosi”
“huyu mwanamke yuko wapi?”
Swali hilo lilimshinda kimti sababu ndani alijua kuna wanawake wawili hakujua ajibu kitu kipi, zaidi ya kuona majibu yote atakayo taka kuyajibu wenda yakawa sio sahihi.
“mwanamke yupo tajiri?”
Baada ya kujibu swali nayeye aliuliza swali.
“Yule aliyetoka shamba?”
“tajiri ameondoka asubuhi sana hapa na mfuko wake, alisema anarudi Mbeya”
“nawewe ukamruhusu?”
“ndi.. hapana ndio bosi”
Adrian alitamani hasira zote azimalize kwa mlinzi wake wa getini lakini hakuona haja ya kufanya kitu kama hiko, alirudi ndani na kutafuta simu yake.
Aliwapigia watu ili waweze kuja na kusafisha ndani kwake kisha wayatoe maji yote, ndani ya moyo wake aliumia sana kuingia hasara nyingine.
**
“wanaume ni watu wa ajabu sana”
“kwanini?”
“yaani hawana fadhila kabisa,”
“lakini sio wote”
“ni wote hakuna aliye na afadhali”
“kwani vipi dada umetendwa nini?”
Consolatha ili mbidi amgeukie msusi aliyekua akimsuka nywele zake na kuanza kumuhadithia visa alivyofanyiwa na mwanaume anayeitwa Adrian pembeni kulikua kuna wanawake wengine sita wakisubiri wasukwe,
ila kitendo cha Consolatha kuongea vile ilibidi wote wasogee karibu kuweza kumuhoji maswali juu ya mwanaume huyo aliyekua akimzungumzia.
“dada samahani umesema huyo kaka anaitwa Adrian?”
Aliuliza mmoja wa wanawake huku akizidi kusogea karibu.
“ndio anaitwa Adrian”
“yupoje?”
“mrefu hivi kiasi, ana timbalendi mweupe mweupe,ana penda kuweka afro kwa mbali nywele zake”
“mmmh anaishi wapi?”
“Tegeta”
Kitendo cha kuongea vile wanawake wote waliruka baada ya kugundua kuwa wameshaliwa na Adrian kila mtu ilibidi atoe duku duku lake akiwa ameumia sana.
“mimi Alisha wahi kunipiga makofi mpuuzi Yule kisa alikua na mwanamke mwingine”
“wewe ivyo, mimi alinipiga ngumi ya tumbo kisa nilishika simu yake”
Kila mtu alizungumza lake la moyoni wakiwa kwenye hali ya kuumizwa sana kihisia,
“lakini ana binamu yake ana duka sinza mimi ndio alinitambulisha kwake”
“duu hata mimi”
Wanawake wengine wanne waliitikia sawa sawa,
Consolatha aliwatizama kwa huruma na kuanza kuwaambia mbinu za kumkomesha wakianza na Felister mwanamke aliyekua ana duka sinza ili iwe fundisho kwa Adrian na wala sio vinginevyo,
waligonganisha mikono yao na baadae kuachia vicheko vya ushindi baada ya kukubaliana na ushauri uliotolewa na Consolatha.
**
“Dada ile nguo bei gani?”
Sauti nzito ya kiume ndiyo ilisikika ndani dukani mwa Felister.
“elfu thelathini kaka”
“nipatie”
Baada ya kusema ivyo aliingia mwanaume mwingine mrefu kidogo baada ya kuingia watatu, wote walitoa visu vyao na kumwambia akae kimnya na waingie ndani ya chumba kidogo cha kubadili nguo kilichokua pembeni kidogo.
“Nini mnataka ,,pesa.. zipo pa..le”
“hatutaki pesa, tunataka tukupe ujumbe umpelekee ndugu yako Adrian, vua nguo zako lala chini si ana jifanya anajua kupanda”
“abee”
“vua nguo”
Mwanaume huyo aliongea kwa sauti ya juu sana na wengine kumshika na kuanza kumvua nguo kinguvu baada ya kumvua nguo zake waliipanua miguu yake huku wakimuamuru asipige kelele yoyote ile, kisha mmoja baada ya mwingine kuanza kumuingilia kimwili wakimbaka, alivyomaliza wa kwanza aliingia wa pili na watatu kumaliza,
Wakati hayo yote yana fanyika Felister aliwekewa kisu juu ya shingo na kuamriwa asipige kelele yoyote ile .
“sasa sikiliza kashtaki popote pale, mpe huu ujumbe ndugu yako uache tabia ya kuwakuwadia wanawake kwake, na ukiendelea tutakuja tena na tutam -baka”
Mmoja wa watu hao mwenye kovu usoni aliongea huku akiwa mdomoni kabisa mwa Felister na kufunga zipu yake na kuondoka zao, na kumuacha Felister akiliia chini baada ya kitendo kile cha kubakwa kutokea,
alijilaumu sana kwa mambo aliyokua akimfanyia Adrian, sasa hayo alijua ndiyo malipo yake.
**
Sherehe ilizidi kupamba moto sana usiku huo wa saa tatu baada ya bibi harusi na bwana harusi kuingia ndani ya ukumbi wa Mwika Hall uliopo sinza makaburini walipendeza sana siku hiyo,
Adrian hakutaka kuamini kama rafiki yake kipenzi DEDI MWITA anafunga ndoa na binti huyo mrembo Detah lakini kilichompeleka hapo yeye siku iyo ni kutafuta msichana mzuri kigoli aondoke nae.
Siku hiyo alipendeza kabisa pembeni yake alikua na Partson Ngogo jr wakizidi kunywa pombe.
“huyu jamaa kaoa basi namimi nitaoa kesho”
Aliongea Adrian huku akiweka glass ya bia mdomoni.
“kwani huyu ni nani?”
Aliuliza Partson
“huyu mafia mwenzangu, mafia huyu. Mwanangu sana yaani daah, ilikua tuzamie wote Afrika kusini lak…”
Kabla ya kumaliza kuongea chochote MC alilitaja jina lake kuwa ni kama mtu maalumu aweze kusimama ili aweze kufungua shampeini,
alitembea huku Mshereshaji akizidi kumpamba Adrian na maneno mengi sana mpaka alipofika mbele,
“Mimi Dedi Mwita, napenda kusema hivi huyu mnae muona hapa, ni mwanangu sana tume haso kinyama, samahani kwa kutumia lugha ya kihuni lakini ndiyo ivyo, Adrian kwa heshima yako kama ndugu yangu naomba ufungue shampeni”
Baada ya kuongea maneno hayo Adrian alipokea shampeni na hapo ngoma ya Fally ipupa kuanza kupigwa iliyoitwa Associe, Adrian taratibu alianza kutingisha chupa na baadae kuifungua shampeini hiyo na wageni waalikwa kuanza kufurahi sana.
Wageni walizidi kufurika na Adrian kusimama kuelekea chooni alivyotoka aligonganisha macho yake ya mwanamke mweupe aliyevaa high hills na kimini kifupi sana,
hakuchelewa hapo hapo alimsimamisha huku akimshika mkono na mwanamke huyo kugeuka nyuma.
“Naitwa Adrian”
“well niite Mourine”
Sauti nyororo ilipita ndani ya ngoma zake za masikio na kumfanya asisimke mwili wake na kuzidi kumpagawisha hasa alipo mwangalia mwanamke huyo kifuani alivyo yapandisha maziwa yake kidogo na kufanya Jogoo  wake apande mtungi na kufurukuta ndani ya suruali.
“mi nisha kupenda ujue”
Adrian alijikuta akiropoka maneno hayo bila kujijua.
“hujatulia wewe umenipenda au umenitamani?”
“yote”
alijibu huku akizidi kuupapasa mkono wa Mourine kiganganjani mwake
Sasa unaweza kusoma simulizi za mtunzi kway insta@storyzakway

ITAENDELEA.........

No comments

Powered by Blogger.