Mchachuko sehemu ya 24
MCHACHUKO…..(24)
MTUNZI…EMMANUEL F. KWAY
Contact..+256756 322432
ILIPOISHIA
Adrian alitoka mbio mbio na kwa mbali alimuona Jaqlin akiwa na mwenzake aliye kua mnene kiasi wanaingia ndani ya Taxi hapo hapo alimuita na kumsogelea, huku akitabasamu.
“Jaqlin mimi naitwa Adrian, acha niwapeleke mnapoenda”
“hapana Ahsante, usafiri tumekodi”
“hapana nina usafiri wangu”
“wala usijali kaka”
Kitendo cha Jaqlin kujibu aliingia ndani ya Taxi,
Yeye hakutaka kumkosa Msichana huyo ndani ya moyo wake aliiingia ndani ya gari haraka haraka na kuanza kuifukuzia Taxi hiyo akiifuata nyuma yake.
SONGA NAYO.
“Nani kakuelekeza hapa?”
“aaahaa! jana nili fuatilia Taxi mliyo panda”
“nikusaidie nini sasa, au una muhitaji nani?”
“nakuhitaji wewe hapo jaqlin”
“sina muda huo”
Baada ya neno hilo kumalizika mlango ulifungwa kapaa!,
Kile kilichokua kina toka kinywani mwa msichana huyo alikimaanisha hakukua hata na punje ya masihala katika mazungumzo aliyoongea, Adrian alibaki amesimama kama mlingoti nje ya Hostel za Mabibo mlangoni hapo asubuhi hiyo ya saa tatu,
usiku wa jana yake alimfuatilia na kujua kuwa anaishi hostel za hapo na siku hiyo asubuhi na mapema kutia maguu, kweli alikiri kuwa binti huyo ni mzuri sana katika macho yake.
Akiwa bado anatafakari ghafla mlango wa chumba ulifunguliwa wa kwanza kutoka alikua msichana mnene kiasi huyu alimjua kwa jina la Fety ndugu yake na jaquee, kisha na jaquee kufuatia na kufunga mlango wa Hostel yao, aliwa tizama lakini hawa kumjali na kuamua kuvunja ukimnya.
“Jaquee”
Aliita Adrian kwa unyonge sana
“nina haraka naomba uniache”
“naomba unisikilize”
“embu niache we mkaka vipi niache bwana,”
Aliropoka Jaqlin kwa sauti ya juu sana na kufanya wanafunzi wa chuo wanaoshuka ngazi wasichana wageuze shingo zao kumuangalia Adrian aliyekua ameduwaa asijue cha kufanya,
alibaki akiwaangalia huku akitingisha kichwa chake, hakuelewa ni kwanini msichana huyo alimkaripikia, lakini ndani ya moyo wake alijiapia ni lazima amvue nguo yake ya ndani alimkumbuka Nasra na wasichana wengi hapo nyuma jinsi walivyokua viburi ila baadae aliwatuliza.
“ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu,nitamnasa shenzi huyu” aliwaza Adrian kichwani
Mdogo mdogo alijizoa zoa na kuingia ndani ya gari yake huku akiwa na mawazo tele ndani ya moyo wake kabisa,
alirudi ofisini kwake na kuendelea na kazi zake, picha ya binti huyo kila wakati ilikua inajijenga ndani ya akili yake na kufanya iweke picha ya taswira ndani ya ubongo wake.
alishindwa kuendelea na kazi na kuweka kichwa chake juu ya meza, hapo alilala akiwa na mawazo ilivyofika tu jioni,
Ili bidi anyooshe tena mpaka mabibo Hostel huku pembeni ya gari lake kwenye kiti akiwa ameweka ua jekundu kubwa sana kama zawadi atakayo mpa binti huyo Jaqlin,
alivyo fika tu aliweka gari yake kwenye uwanja wa maegeseho na kushuka na ua kubwa mkononi mwake.
Baada ya kupanda ngazi aliufikia mlango wa hostel na kugonga.
“Jaqlin kuna mgeni wako!”
Sauti ya Fety ndio iliyoita baada ya kuiona sura ya Adrian mlangoni. Haikuchukua hata sekunde mbili Jaqlin alitokea
“samahani kwa kukusumbua nime kuletea zawadi izi, na pia nilikua naomba muda tuzungumze kidogo”
Alisema Adrian kwa sauti ya chini.
“sema nakusikiliza”
“ni maongezi marefu kidogo na nisingependa tuyafanyie hapa”
“hapana siwezi, pia kitu kingine kuja kuja kuniulizia sipendi, naomba iwe mwanzo na mwisho na hilo uwa ahsante nenda nalo tu”
Alimaliza kuongea msichana huyo aliye jiamini sana akiwa mkavu akimtizama Adrian machoni mwake bila ya kupima ukali wa maneno aliyokua akiyatoa ndani ya kinywa chake, baada ya kuongea hayo aliufunga mlango.
Hakuelewa ni kipi akifanye juu ya binti huyo, alitoka na ua lake na kuingia nalo mpaka ndani ya gari akiwa ana tafakari bado
“wee binti!”
Aliita Adrian
“Abee”
“unaitwa nani?”
“Khadija”
“chukua ua hili zawadi yako”
Japokua hakumjua mwanamke aliyekuwa anamuongelesha lakini ilibidi tu ampe iyo zawadi ya ua kuliko yeye kurudi nalo.
Njia nzima aliendesha gari huku akiwa na mawazo mengi sana mpaka alipofika nyumbani kwake na kuegesha gari, alitembea kinyonge mpaka ndani Sebleni na kujitupa juu ya sofa. Akiwa mwenye mawazo mengi sana ,
kilicho mshtua ni simu yake iliyoita iliyotoka Kwa Mourine akimwambia kuwa yupo nje ya geti, ivyo baada ya dakika tano atakua naye na kulala wote siku hiyo,
Hakujibu alikata simu na kuitupa pembeni, kweli hata dakika tano hazikupita Mourine alikua mdomoni mwake ana mla denda lakini kutokana na mawazo mengi alikua bado ameganda kama barafu.
“vipi unaumwa?”
Aliuliza Mourine
“niko poa”
“sasa mbona upo ivyo?”
“kawaida”
“okay ngoja niingie jikoni nipike maana nina njaa kweli kweli, leo nitalala hapa”
Alizidi kujiongelesha Morine bila kujua Adrian kimawazo hakua naye hata kidogo, chakula kilipo iva alikuja na kuketi pembeni yake ili wote waweze kula.
“hapana sina njaa”
“aaah Adrian ndio nini sasa, nimepika chakula kingi sana”
“nitakula kesho”
“nakuomba tafadhali!”
“naomba nielewe nitakula kesho sasa hivi sipo sawa kabisa, nikisha sema nimesema, niache kwa sasa hivi”
Baada ya kumaliza kuongea hayo yote alisimama na kubeba simu zake, moja kwa moja alipandisha ngazi mpaka juu gorofani chumbani kwake na kujitupa kitandani chali
Hapo hakukaa sana Mourine alifika na kuingia kuoga na kutoka akiwa na kanga moja aliyoifunga mpaka juu kwenye maziwa huku akiwa anafuta futa nywele zake zilizokua na maji bado,
baada ya kumaliza hayo yote alipanda kitandani na kuanza kumchokoza Adrian kimahaba akimshika sehemu tofauti za mwili wake.
“Mourine unataka kufanya nini? embu tulia ulale, umekuja kulala umekuja kuni sumbua?”
Aliuliza Adrian baada ya kuona kero hiyo hakua tayari kufanya lolote usiku huo kutokana na msongo wa mawazo ambao hata yeye hakuelewa ni kwanini anawaza kiasi hiko.
“ha ha”
Alicheka kidogo Mourine
“hivi unategemea simba na swala wakilala chumba kimoja nini kita tokea?”
“achana na ivyo vimisemo, sasa hapa kuna wanyama?, nani swala na nani simba? Hapa hakuna wanyama mimi Adrian wewe…?”
Badala ya kujibu swali nayeye aliuliza
“leo mimi simba wewe Swala”
Miyemko na wadudu washa ndiyo waliokua ndani ya mwili wa Mourine na kutamani kukunwa haswaa!
Hakutaka kuelewa somo japo Adrian aliweka sura ya ukauzu lakini kama mwanamke aliye kamalika ilikua ni lazima apangue kauli aliyo tamka Mwanaume huyo anaye jifanya hardcore kwa muda huo au MGUMU asiyetaka kuonja utamu wa chachandu, ilikua ni kama keshatafuniwa chakula niyeye tu kumeza.
Kwa kuwa alijua ni wapi udhaifu wa Adrian ulipo, alimfuata kwenye masikio na kuanza kuyanyonya huku mkono wake ukiwa juu ya koki taratibu sana,
baada ya kuipapasa kwa muda kidogo alihisi kidogo kidogo inaanza kuwa ngumu na hapo kujua teyari kasha mkamata na hana ujanja wowote ule,
alimfungua vifungo vya shati lake kwa kutumia ulimi alianza kulamba chuchu hapo kifuani mwa Adrian, hapo ndipo Adrian aliye jifanya Mgumu alianza kuwa mlaini kama mafuta au mkate wenye SIAGI uliowekwa ndani ya chai ya maziwa.
Alianza kuhema juu juu huku akiyafumba macho yake, Mourine aliligundua hilo na safari hii kuanza kufungua zipu taratibu na kutoa Tango la Adrian, lililokua teyari lime simama imara kama msumari wa zege na kufanya misuli itokeze kwa pembeni yake….
Sasa unaweza kusoma simulizi za mtunzi kway insta @storyzakway
ITAENDELEA............
(kwa story nyingi tembelea hii link www.facebook.com
Post a Comment