Header Ads

Mchachuko sehemu ya 7

MCHACHUKO……(7)

MTUNZI….EMMANUEL

ILIPOISHIA

Katika maongezi yale ghafla simu ya Zackaria iliita na kuaga kuwa anaenda kuipokea nje, ilikua ni kosa kubwa kumuacha demu wake na Adrian, ilikua ni kama Deffence kuteleza ndani ya boxi huku mpira anao Christian Ronald hakuna kilicho fuata hapo zaidi ya mashabiki kuweka mikono yao juu wakisubiri shuti litakalo pigwa mpaka nyavuni.
Pale pale Adrian alitoa simu yake kubwa na kumkabidhi Fiona aandike namba zake za simu.

SONGA NAYO

“niandikie namba zako za simu hapo shemeji yangu”
Fiona bila kipingamizi chochote alishika simu ile kubwa ya Adrian na kuandika namba zake za simu kimapozi baada ya kumaliza kuandika alimkabidhi Simu ile Adrian na namba ile kuseviwa kwenye phonebook,
“upo wapi kwani shemeji”?
“mimi nasoma, nipo pale UDSM mlimani”
“hongera sana,”
“una somea nini”?
“Education digrii mwaka wa pili”
“aaah aaah, kuna ndugu yangu pale ana itwa Jackson Masue au Florian una mfahamu, ila yeye ana chukua mambo ya Engeneering”
“Florian, Florian, namfahamu namjua ndio kumbe ni ndugu yako?”
“ni mpwa wangu Yule, mtoto wa mjomba wangu”

Maongezi yale yalikatishwa na Zackaria baada ya kutokea na kuonekana ana haraka sana alimuaga Adrian kisha kuondoka na Fiona , huku nyuma Adrian kama kawaida yake alikua akimthaminisha Fiona ambaye alivaa sketi ya jinsi iliyoshuka na kufanya mlegezo ivyo alivyo kua anatembea ilikua ni mwendo wa singida Dodoma,alimtizama nyonga yake ilivyokua nyembamba na pale pale kumvua nguo kihisia,
Akiwa nae kitandani ameshika nyonga zake nyembamba mithili ya dondora,na kufanya suruali yake kutuna kwa juu.
“Bosi kuna hii profoma hapa una takiwa kutia sahihi”

Mima secretary wake alifika akiwa amevalia kimini chake vizuri huku akiwa ameshika makaratasi mikononi mwake.
Adrian alisaini makaratasi yale huku Mima akitizama midomoni mwake, alimsogelea na kuanza kumnyonya midomo huku akifungua zipu ya kidume huyo ambaye alikua ni bosi wake kisha kutoa mashine iliyokua ndani ya suruali na kupiga magoti.
“Mima Mima, hapa tupo ofisini badaae basi”
“Adrian nina hamu ya kunyonya”
“baadae basi sawa, nita kuita”
“hapana”
Adrian alisimama na kumuinua Mrembo huyo na kumnyonya mdomo wake huku akilibinya kalio lake,
“nenda njoo baadae”
“jamaaani”
“njoo baade Mima”
Ilibidi tu Mima atoke nje na kumuacha Adrian akiwa juu ya kiti cha kuzunguka akitafakari , akiwa kwenye dimbwi la mawazo ghafla mlango wake ulifunguliwa  na kijana mmoja kuingia huku nyuma akiwa na Martha ambaye   alionekana kubishana nae kuingia kwa bosi wake bila utaratibu,
Adrian alimtizama kijana Yule na kumkumbuka vizuri sana, alikua ni imma mwanaume wake na Beatrice

“bosi huyu kaka mbishi nime mzuia kuingia ila kafanya fujo”
“mwache Martha kaendelee na kazi”!
Adrian alikaa sawa na kumtizama kijana aliye kua mbele yake ambaye alionekana kama mtu aliye changanyikiwa sana.
“nikusaidie nini”?
“naomba umtoe Bite wangu polisi”
“ndo alivyokutuma”?
“nakuomba tafadhali,”
“amekupa pesa ya malipo ya gari langu”?
“hapana ila naomba umsamehe ni kiasi gani”?
“kile kioo cha mbele cha ile gari kupatikana sio rahisi una dolla mia saba”?
“ndugu nisaidie, naomba umtoe mimi sina ela hapa nilipo nina elfu kumi na tano tu tigo pesa, naomba ndugu yangu”
“subiri kwanza akae ndani mpaka kesho ili apate adabu naomba uende”

Waliendelea kubishana huku imma akizidi kumuombea Beatrice msamaha ili asilale kituo cha polisi sababu bado alimpenda sana, licha ya kumuombea Beatrice msamaha lakini Adrian hakuonesha hali yoyote ile ya kulegeza uzi, iyo ilikua sifa yake nyingine, alikua ini mwanaume mwenye msimamo na kiburi akisema kitu sio rahisi kukibadili.
*****

“MAMA NAWAHI MSIKITINI, ila leo kutakua kuna mawaidha kidogo”
“yakiisha tu uwahi kurudi, si unamjua baba yako alivyokua hapendi wewe uzurure”
“sawa MAMA”
Sauti iyo ilisikika kutoka kwa msichana mdogo wa makamo kati ya umri wa miaka ishirini mpaka ishirini na tano, alikua ni mzuri sana, asili yake ilikua ya kiarabu, muda wote alikua akivaa ushungi tena mpaka kuziba mwili mzima na kuacha macho yake, kuuona uso wake ilikua sio rahisi hata kidogo, alikua ni mweupe sana wa kung’aa ila alikua mdogo wa mwili ukimuangalia haraka haraka ungedhani ni mwanafunzi wa kidato cha tatu, baba yake alikua ni shekh maarufu sana hapo ilala mtaa wa shaurimoyo aliyeitwa UTALLY MOHAMMEDI,
Mambo ya mwanae kuwa na mwanaume aliyapinga vikali alijivunia sana kua na binti yake huyo akiamini kuwa hakua na mahusiano yoyote yale na mwanaume yaani ni bikira,ivyo alimlea katika misingi imara ya kidini.
“wahiiiida , wahiiidaaa”!
“abee MAMA”
“wahi msikitini una fanya nini tena, huoni muda unaenda”?
“namalizia kuvaa mama”
Wahida alichukua Simu yake ya mkononi ambayo aliifanya siri sana kuwa nayo na kuiweka ndani ya pensi ndani yake, kisha kuvaa baibui ambayo ilimfunika usoni na kuacha sehemu ya macho peke yake, alivyomaliza kujiandaa alitoka nje na kumuaga mama yake.!,

Alitembea taratibu mpaka alivyofika maeneo ya ilala boma na kuitoa simu yake mfukoni, na kuonekana kama akibonyeza bonyeza namba, kisha baadae gari aina ya JEEP jeusi kusimama mbele yake yenye vioo vyeusi sana, kisha yeye kuingia ndani ya gari.
“Adrian, mbona umechelewa baby”?
“kwanza vua hayo madude hayo, isije ukawa umeficha mabomu”
Wahida alivua ushungi ule ulioitwa Nicab na kuutupia siti za nyuma na kubakia na kaptura fupi iliyoonesha mapaja yake meupe sana, kweli alikuwa mweupe sana pengine ungebahatika hata kumuona ungekiri hilo sio masihala, uzuri wake ulikua tishio,mwenye nywele ndefu sana, aliziviringisha nywele zake na kuzibana kwa nyuma.
“nambie sasa mtoto wahida”

Adrian alipeleka mdomo wake karibu ya Wahida ila aliukwepesha mdomo wake na kumwambia kuwa wapo sehemu mbaya wana weza kuonekana
“alafu tuna lisaa limoja na nusu tu, tulitumie vizuri, Yule shekh akirudi nitakua katika hali mbaya sana”
“poa poa, tupige chap chap,”
Adrian aliweka gia namba moja na kuachia clach taratibu kisha kuingia barabarani huku akitimua mbio,

“Halloo! kimti, habari yako”?
“salama bosi”
“Yule rafiki yako bado yupo”?
“yupi huyo bosi, hakuna rafiki aliye nitembelea leo isitoshe yu…..”
“mshenzi nini!, jiongeze basi acha ubwege, keshaondoka au bado yupo?”
“ahaaa basi basi basi ndio bado yupo”
“fanya juu chini atoke hapo, mimi narudi nipo njiani”
“sawa bosi”
Adrian alikata simu yake ile akizuga na mlinzi wake akimaanisha kuwa Consolatha aondolewe nyumbani kwake kisha yeye aingie na mzigo mwingine ambao alikua nao ndani ya gari, alimtizama Wahida na kumkagua jinsi alivyokua mweupe mwenye mwili mdogo sana na mzuri mno!  Kisha kumeza fundo la mate ya matamanio.
“nani atoke”?
“kuna mtu ananidai, sitaki awe nyumbani pale ataleta fujo, ni mambo ya kiofisi achana nayo”
“okay baby”
Wahida alisogea karibu na kumpiga Denda Adrian kisha kurudi kwenye siti yake, baadae alitumiwa meseji na Kimti ambayo ili mfanya atabasamu baada ya kuambiwa Consolatha ameondoka zake, aliweka gia namba tatu na kuzidi kukanyaga mafuta, baada ya dakika ishirini teyari alikua akipiga honi na geti kufunguliwa na mlinzi kisha kuliegesha gari lake na kuingia na Mrembo huyo ndani,

Baada ya mlango kufungwa Wahida alimrukia Adrian mdomoni na kuanza kuuvua mkanda wake taratibu huku akizidi kumlamba mdomo wake taratibu sana , alimvua koti lake na kuanza kumfungua vifungo vya shati , Adrian alimbeba Wahida juu juu kisha kuanza kupanda nae ngazi huku wakiwa bado wamegandana midomo yao kama njiwa, alifika na kumtupa kitandani puu!, kisha taratibu kupanda juu

yake akiendelea kumpiga mabusu ya mdomoni taratibu akinyonya lips zake kisha kutumbukiza ulimi wake na kukutana na ulimi wa Wahida kisha kuanza kulambana ndimi zao kwa fujo zote,
Adrian alipandisha topu ya Wahida na kuitupa pembeni na kuanza kunyonya maziwa na Wahida na kumfanya azidi kuwa mwekundu sababu ya damu kumwenda mbio kutokana na kash kasha zilizoanza hapo….

Itaendelea.............

No comments

Powered by Blogger.