Header Ads

Mchachuko sehemu ya 8

MCHACHUKO…(8)

MTUNZI…EMMANUEL

ILIPOISHIA

Adrian alimbeba Wahida juu juu kisha kuanza kupanda nae ngazi huku wakiwa bado wamegandana midomo yao kama njiwa, alifika na kumtupa kitandani puu!, kisha taratibu kupanda juu yake akiendelea kumpiga mabusu ya mdomoni taratibu akinyonya lips zake kisha kutumbukiza ulimi wake na kukutana na ulimi wa Wahida kisha kuanza kulambana ndimi zao kwa fujo zote,
Adrian alipandisha topu ya Wahida na kuitupa pembeni na kuanza kunyonya maziwa na Wahida na kumfanya azidi kuwa mwekundu sababu ya damu kumwenda mbio kutokana na kash kasha zilizoanza hapo….

SONGA NAYO.

MAMBO yalikuwa yakiserereka sababu tayari chupi ya Wahida ilikuwa imeloa  tepe tepe, Adrian alishajua nini maaana yake bado kidole chake kilikua ndani ya chachandu ya Wahida kikiwa kimeloa sasa, taratibu alianza kumvua nguo ile ya ndani kisha kuitupa pembeni, muda wote huo mrembo huyo alikua kimnya ametulia huku akihema juu juu akisubiri tu mtanange wa mechi uanze Alisha kua hajiwezi kabisa amesha yafumba macho yake akiwa sayari nyingine ya mapenzi, raha alizohisi ilikua sio rahisi kufikiria kitu kingine zaidi kusubiri kuliwa,

Adrian tayari Alisha mvua nguo zake zote na kuanza kumuandaa akimnyonya maziwa yake yote mawili tena kwa zamu huku bado chini akipima oil ambayo Alisha jua imejaa tayari,
Baada ya dakika moja tayari walishaanza kucheza mchezo huo wa kikubwa ambao hupendwa na mamia ya watu,Adrian alifanya jitihada zote ili amridhishe Wahida mtoto mwenye asili ya kiarabu ambaye haja wahi kufanyiwa michezo kama hiyo na mwanaume yoyote yule zaidi ya Adrian,
baada ya hapo waliiingia kuoga , huko walianza kuchokozana na Adrian hakua na budi kumuacha kimwali huyo ambaye ilikua kila akimuangalia ngozi yake basi ina kua tabu nyingine, laiti asingekua mtoto wa shekh au asinge kua ana wahi nyumbani kwao angelala nae siku hiyo,
“Adrian ujue nakupenda sana”
“umeanza sasa, ngoja nikuulize kitu, umenipendea nini”?
“kwanza tambua sija kupendea pesa zako,nime kupenda wewe ulivyo, unanijali sana pia unanifikisha pale napotaka nifike,”
“ya kweli hayo”?
“ndio niamini nayosema”
“sawa basi vaa, tutaongea vizuri usiku, hiyo simu uifiche mbali, shika pesa ya vocha hii”
“ahsante Adrian”
Wahida alimsogelea Adrian kisha kumnyonya lips zake huku akitumbukiza ulimi wake ndani ya mdomo wake na kuanza kunyonyana tena ndimi zao.
Baada ya kunyonyana denda dakika tatu nzima waliachiana, na kuanza asafari ya kutoka nje,
“alafu hii gari yako ninayo ipenda mbona imepasuka kioo”?
Aliuliza Wahida baada ya kuona AUDI ile ipo pembeni imepasuka kioo cha mbele, ki ukweli gari ile ilikua nzuri sana, kila ikipita machoni mwa watu ilikua kivutio, sio kwa watu tu, hata kwa Adrian aliipenda sana gari hiyo ambayo aliiagiza nje ya nchi, kitendo cha kupasuliwa kioo kile na Beatrice kilimuuma sana moyoni mwake kila akilitazama gari hilo.
“kuna mtu nili muazima, kalileta ivyo”
“jamani, jamani. Hujui tu navyoumia hapa, sasa ita kuaje”?
“kama unavyoliona, ila litakua sawa hivi karibuni”
“poa baby”
Waliingia ndani ya gari na safari ya kumrudisha Wahida kuanza, alimfikisha ilala boma na Wahida kuvalia ushungi wake na kushuka ndani ya gari kisha Adrian kuanza safari ya kurudi ofisini kwake akiwa muda wote ana tabasamu,
Alifika haraka haraka na kuingia ofisini kwake kisha kuketi na kuendelea na kazi zake.

****
“dada unaelekea wapi”?
“hapo mbele”
“naweza nika kupa lift, maana naona usiku umeingia alafu eneo hili sio salama”
“hapana, acha tu kaka yangu”
“hapana, nitakua mwana ume wa aina gani nikuache binti mzuri kama wewe peke yako eneo kama hili,siwezi kukubali ingia kwenye gari”
“kaka acha tu, wewe nenda usijali”
“hapana siwezi kukuacha”
Alikua Ni Adrian usiku huo mnene akiwa ameegesha gari lake pembeni maeneo ya kinondoni kwa manyanya baada ya kumuona binti mmoja mzuri sana kwa haraka haraka alikua na asili ya kirangi sababu ya weupe wake na pua yake ilivyo chongoka, kimini alichovaa kilifanya mapaja yake meupe yawe nje,alikua ni mrefu kidogo, alikua amesimama peke yake akisubiri usafiri wa dala dala ambapo hakukua na dalili ya aina yoyote ile ya usafiri usiku huo, ivyo Adrian hakutaka kulaza damu alitaka kuondoka na mrembo huyo usiku huo huo,

Baada ya kumuomba takribani dakika kumi na tano dada yule alikubali na kuingia ndani  ya gari, Adrian kitendo kile alikiona ni ushindi sana kwake,na kuanza kumuuliza maswali ya hapa na pale.
Huku akiendesha gari taratibu sana na kuendelea kumthaminisha kuanzia juu mpaka chini.
“kaka”
“niite Adrian”
“Adrian”
“naam.,nawewe wana kuitaje wenzako”?
“sijakuelewa”
“jina lako nani”?
“samia”!
“una jina zuri, hilo la kiharabu unajua”
“nikuombe kitu”?
“bila shaka”
“naomba kaninunulie soda pale Adrian”
Bila kipingamizi aliweka gari pembeni.  alishuka na kuiendea baa ya hapo pembeni yake,lakini alivyo fika kwenye baa ile alisita kidogo baada ya kumtizama muhudumu Yule aliye kua amefanana kabisa na mwanamke aliye muacha kwenye gari kuanzia mavazi mpaka sura,
“kaka nikusaidie nini”?
Bado Adrian alipata na kigugumizi sana na kushindwa kuongea kabisa alizidi kutoa macho yake, ila baadae aliguswa bega lake na Samia aliye tokea nyuma yake na kumfanya nusura akimbie.
“vipi mbona umeshtuka”?
“hapa…hapana hakuna kitu”
Alivyogeuza sura yake kaunta hakumuona muhudumu Yule, na kubaki kuchanganyikiwa, alijipa moyo na kuona wenda ni maluwe luwe tu, walirudi ndani ya gari na Samia kuwa na kazi ya kumuelekeza anapoishi,walikata shekilango na kunyoosha moja kwa moja, baada ya kufika sinza makaburini Samia alimwambia Adrian kua teyari wameshafika.
“sasa hapa mbona makaburini”?
“naishi upande wa pili twende unisindikize, usigope”
“mmmh”
Samia alimshika kidevu na kumvuta mdomoni na kumpiga denda na kumfanya mwili wake uzidi kumsisimka sana na kutamani apewe penzi, alishuka bila kipingamizi na kuanza kutembea makaburini huku akiwa mwenye wasi wasi mwingi sana.
Cha ajabu mbele yake aliona moshi mzito sana na kusikia ngoma zikipigwa, kufumba na kufumbua hakumuona samia na kumfanya azidi kuchanganyikiwa sana.
“Mungu wangu”
Adrian aligeuka na kuteleza alisimama haraka haraka na kuanza kukimbia ila mbele alikutana na Samia akiwa na mtu mrefu sana kwenda juu.
“ha ha ha ha ha ha h ha ha ha ha ha ha”
Jitu hilo lilicheka kwa sauti ya kukwaruza sana na kumfanya Adrian azidi kutetemeka mwili mzima.

ITAENDELEA....

No comments

Powered by Blogger.