Header Ads

Mchachuko

MCHACHUKO……(1)

MTUNZI….EMMANUEL 

“ngo ngo ngo, ngo ngo ngo”
“nani wewe”?
“embu fungua geti”
“sawa nakuja”
Geti lilifunguliwa kisha mwanamke aliye onekana hapo alikua amebeba mabegi makubwa mikono yote miwili, na kuonekana dhahiri amechoka kutokana na safari kuwa ndefu pengine, baada ya kufunguliwa geti lile kubwa alimsukumiza mlinzi wa hapo ambae alionekana mwenye wasi wasi mwingi sana. Sababu alitanda mlangoni kuonesha kwamba hakutaka mwana mke Yule aingie ndani.
“embu nipishe nipite,”
“bosi hayupo”
“sawa nipishe ata nikuta ndani akirudi”!
“lakini lakini mweee, mimi sija kuruhusu upite ”
“embu nipishe nime choka sana”
Mwana mke Yule mrefu kidogo alimsukumiza mlinzi aliye kua getini pale nayeye kuingia ndani huku akiburuza mabegi, akielekea ndani ya nyumba hiyo ya kifahari nje yake kulikua na magari mawili ya kifahari AUDI na JEEP,alionekana dhahiri kabisa alikua ni mwenyeji alitembea haraka haraka na kupanda ngazi za hapo kibarazani.

“aaaah mmmh aaaaaaah, baby stoop, aaaah sshsss aaaah”
Miguno ilisikika kutokea chumbani huku aliye kua akitoa kelele izo alikua chini akiwa kama alivyo zaliwa kabisa!, kilichokua kina tokea hapo kili kua ni kuharibu chaga tu, yalikua ni mahaba  shika nikushike ilianza  na sasa mechi ilitaka kuanza.
“lile boxi liko wapi”?
“boxi gani”?
“zana zile”!
“kwani baby huwezi kwenda kavu huniamini”?
“una nishusha mzuka  nipe boxi lile tuanze kazi”
Mwana mke huyo alipitisha mkono chini ya godoro na kutoa Zana(kondomu). Baada ya kuvaliwa sasa shughuli ilianza ya kuvunja amri ya sita,  ,  dakika chache mbele kila mtu alikua akimsifia mwenzake,
“Merisiana nataka kuondoka sasa, kuna sehemu nataka niende, twende tuka oge nikuache hapo stendi nisepezangu”
“, sio siri unanipatia, ila unanikera kitu kimoja, una vyokula pipi na maganda yake”!
“siwezi mimi kwenda kavu”
Kijana huyo alisimama na wote kwenda kuoga huko bafuni waliishia kulambana midomo na Merisiana kuanza kula koni ya kijana huyo na oil chafu kumwagika juu ya kifua, kisha wote kutoka wakiwa tayari wame vaa, walivyo fika sebleni waliendeleza mabusu kupigana,
“Adrian”!
Ilisikia sauti ya mwana mke aliye simama mbele yake akiwa ameshika mabegi yake, kitendo cha kumuona Adrian mpenzi wake yupo na mwana mke mwingine kilimfanya ashtuke sana, kwa upande wake aliumia sana sababu tayari walifunga chuo na kuwadanganya wazazi wake wana funga wiki ijayo ivyo alipanga na Adrian waweze kutanua huku akiwa ana ishi nae hapo kwake.
“kwani wewe nani”?
“wewe haya kuhusu Malaya wewe”!
“nani Malaya”?
“wewe Malaya wa jiji”
“nafikiri huni jui vizuri , una kuta watu wapo kwenye starehe zao, Mpuuzi wewe”
Adrian alirudi nyuma kidogo na wana wake wale kuanza kupigana pale wakirushiana mkofi na makonde na kumfanya Adrian atabasamu, 
“ oyaa oyaaa, jamani jamanii, taratibu na fanicha  zangu ,piganeni lakini msivunje tu”!
Alitoa simu yake mfukoni na kuipiga huku akitoka nje na kuwaacha wana wake wale wakigalagazana chini.
“halloo consolatha mpenzi wangu upo wapi”?
Tayari alimpigia simu mwanamke mwingine na kusahau garika aliloliacha ndani. Hayo ndiyo yalikua maisha ya Adrian, starehe yake yeye ilikua ni wana wake alikua ni kijana mdogo mwenye mafanikio kati ya vijana wengi waliokua mjini hapo hii ni baada ya kuzamia Afrika kusini kuta futa maisha na baadae kurudi akiwa na mali tayari. ilikua ni bahati kwake,
lakini tangu alivyorudi alikua ame badilika, alitumia pesa hizo kama fimbo ya kuwa chapa wana wake. Hakuna mwanamke yoyote aliyewahi kumkataa sababu huingia kwa gia nyingi tofauti hata wakati mwingine hutangaza mpaka ndoa mwisho wake ana potelea  mitini,
. mtaani hapo maeneo ya TEGETA wali mbatiza jina na kumuita ALUATANI ila kitu kimoja hakuwahi kuuza mechi kwa mwanamke yoyote Yule japo wengi waliji tahidi kutaka japo kuzaa nae lakini mbinu zao hazikuzaa matunda kabisa,

“ndio baby wangu, upo wapi”?
“nipo njiani Laaziz, nakuja hapo sawa”
Adrian aliingia ndani ya gari na  kutoka nje ila alivyo fika getini alisimama na kushusha kioo cha gari lake na kumuita mlinzi.
“sikia, nitolee hao nzi ndani, nikirudi nisiwakute”
“sawa tajiri yangu”
Baada ya kutoa maagizo hayo aliweka mguu kwenye mafuta na kuchapa mwendo pale pale.
Aliweka mziki wa gari kwa sauti ya juu na kuanza kutikisa kichwa chake , muda mchache baadae alikua teyari ameegesha JEEP maeneo ya mwenge na kutoa simu yake ,
Dakika chache alitokea mwana mke mzuri mweupe usoni alikua kavaa miwani ya jua, hakika alipendeza sana mwana mke huyo na kuendana na gari aliyo kua akiingia,
“ume pendeza sana, kama malaika consolatha mpenzi wangu, sasa nataka twende kwa sista Phelister pale sinza, twende uka koge, nika kununulie nguo”
“poa baby,”
Adrian alimvuta na kumpiga busu mdomoni na kunyonya lips zake.
Alivyomaliza aliwasha gari na safari ya kwenda sinza madukani kuanza kwa binamu yake aliye itwa Phelista, ambae alikua na duka la nguo hapo sinza, baada ya kufika aliweka gari pembeni ya duka hilo la nguo za kike.
“kwanza nisubiri ndani ya gari nakuja”
“okay baby, hakuna tabu Adrian wangu”
Alishuka taratibu na kuingia mpaka ndani ya duka na kusalimiana na Phelister na kupiga stori za hapa na pale,
“juzi ulinipa kimeo cousine, Yule demu sio “
“yupi Yule cheupe?”
“huyo huyo”
“aliku fanya nini tena”?
“alitaka kuniiibia simu yangu”
Walitembea tembea ndani ya duka lile la nguo huku wakipiga stori ki upande Fulani Phelister bina mu yake huwa ana muungaishia wana wake wanao kuja dukani hapo kununua nguo za kike,
“huyo mtoto vipi”?
“aah wewe tulia, rafiki yangu huyo”

Aliongea Adrian hasa alivyo muona mwana mke aliyevalia kimini huku nyuma akiwa na makalio makubwa sana na kumfanya udenda umtoke,
“sasa mi nataka kuondoka nae, fanya mambo basi, kuna ngedere nime kuja nae yupo  ndani ya gari ngoja nika mtoe, nikija uwe usha weka vitu sawa!”
“Adrian lakini”
“fanya ivyo nakuja”
Adrian alitoka nje huku kichwani akifikiria afanye kitu gani ili aweze kumtoa Consolatha ndani ya gari kisha aondoke na mwana mke mwingine,
“baby, sikia nime pigiwa simu ya dharura hapa”
Aliongea Adrian huku akiwa amefungua mlango wa gari.
“sija kuelewa”
“sikia chukua izi elfu thelathini, tafuta taxi, maza ana umwa yupo TMJ ana hali mbaya sana, natakiwa niende kumuona!”
“mimi siendi popote nataka twende wote”
Aliongea Consolatha na kugeuka upande wa pili, kweli kulikua kuna kina dalili ya yeye kukataa kushuka ndani ya gari…..

ITAENDELEA....................

No comments

Powered by Blogger.