Header Ads

Tatizo la miguu na mikono kuwaka moto na kupata ganzi






MIGUU /MIKONO KUWAKA MOTO AU (FOOT/PERIPHERAL NEUROPATHY)







Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili 

yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.
Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na 

hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.






MIGUU KUWAKA MOTO ni ugonjwa unaotokea ambapo katika mwili wa binadamu kutakuwa na matatizo kama kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili yani za miguuni hivyo kupoteza uwezo wa utendaji kazi wa neva miguuni, sababu zingine ni kama kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu, kuwa na sumu nyingi mwilini,kurithi au mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.






DALILI ZA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO








Ugonjwa huu unadalili nyin
gi kama
Kuhisi ganzi, kuhisi kuchomwa na kitu chenye ncha Kali miguuni,kuhisi miguu kuwa na majimaji kwa ndani,joto Kali miguuni,kuhisi kama unaungua miguuni,kushindwa kushika au kubeba vitu na maumivu makali.






VITU/ MAMBO YANAYOWEZA KUPELEKEA MTU MIGUU YAKE KUWAKA MOTO
Kuna mambo mengi sana yakiwemo;
~UZITO MKUBWA WA MWILI(hii husababisha uti wa Mgongo kukaa tofauti na unavyostahili hivyo baadhi ya neva kukandamizwa na uzito wa mwili au misuli hivyo kusababisha miguu kupata maumivu na kufa ganzi.

~Matumizi ya baadhi za Dawa zenye chemikali kwa muda mrefu au Mara kwa Mara mfano Dawa za TB, HIV n.k

~UPUNGUFU WA VIRUTUBISHO MWILINI HASA MKUSANYIKO WA VITAMINI B( VITAMINI B COMPLEX)

~MAGONJWA YA KISUKARI NA SHINIKIZO LA DAMU, MAGOTI ,MZIO NA FANGASI

~MATATIZO YA MOYO

~MATATIZO KATIKA MISHIPA YA DAMU

~ULEVI WA KUPINDUKIA KWA MUDA MREFU

KUEPUKA UGONJWA WA MIGUU KUWAKA MOTO

~KUWA NA UZITO UNAOENDANA NA KIMOCHAKO

~FANYA MAZOEZI YA MWILI

~KULA CHAKULA KINACHOKUPATIA VIRUTUBISHO MWILINI HASA VITAMINI B COMPLEX

~USAFI WA VIATU, SOX NA MIGUU

~ ONDOA SUMU AU KEMIKALI MWILINI MARA KWA MARA

MATIBABU

~KULA VYAKULA VYENYE MKUSANYIKO WA VITAMINI B ZA KUTOSHA(B COMPLEX)

~ FANYA MAZOEZI YA MWILI KAMA KUKIMBIA, KUTEMBEA N.K PIA KUFANYA MASSAGING.
~PUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

~TUMBUKIZA MIGUU KATIKA MAJI VUGUVUGU YENYE CHUMVI

~TIBU MARADHI YA KISUKARI HAKIKISHA SUKARI IPO SAWA

~ONDOA SUMU MWILINI KWA VITU VISIVYO NA KEMIKALI

~CHUA MIGUU YAKO KWA VITU VINAVYO PUNGUZA MAUMIVU,VINAVYO SAIDIA MZUNGUKO WA DAMU KUWA VIZURI (paka Asali mbichi, shubiri na limau)






Njia za kuepuka ugonjwa huu
- Kufanya mazoezi ya kukimbia na kunyosha miguu
- Usafi wa viatu na soksi
Kama umeupata tumia njia hizi utapona kabisa
- Tumbukiza miguu kwenye maji ya uvuguvugu na ikiwemo chumvi kiasi na baada ya hapo paka limao maeneo yote yalio asilika
- Tumia sana vitunguu swaumu kuwa mda wa wiki moja tatizo litakuwa limekwisha.

Na pia kuna dawa ya vidonda vya tumbo ambayo huponya na kuviondoa kabisa na iyo daqa ina faida nyingi sana kam vile
- Kutibu kisukari
- Matatizo ya mgongo
- Nguvu za kiume
- Matatizo ya figo
- Matatizo ya moyo

Ahsante

No comments

Powered by Blogger.