Zifahamu faida na hasara za kufanya au kushiriki tendo la ndoa kwa wanandoa
Faida na hasara za tendo la ndoa kwa wanandoa
Tendo la ndoa ni njia ya kujamiana kati ya mwanaume na mwanamke kwa waliohalalishwa kisheria, kidini na kimira
Faida
Huimarisha kinga ya mwili sababu ni moja ya mazoezi kufanya mwili kuwa imara
Husaidaia wanandoa kama sehemu ya mazoezi maana kufanya mwili kusafirisha damu na oxygen sehemu mbalimbali za mwili
Hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa kwa wanandoa husika kwa sababu ya kinga kuwa juu
Kupunguza msongo wa mawazo au stress kwa wana familia
Husaidia kupunguza matatizo ya shinikizo la damu kwa maana kwamba husaidia kusukuma damu vizur
Husaidia uzalishaji mzuri wa homoni kutoka na hisia mnazozisikia wakati wa tendo na kumsaidia kupunguza maumivu ya mgongo na uchovu
Husaidia kupunguza mafuta ya mwilini kama korestron
Huchangamsha ubongo na kufanya akili kuwa changamfu
Kupunguza sumu mwilini kutokana na kwa njia ya jasho
Huimalisha upendo kwa wanandoa
Kupunguza uwezekano wa kupata tatizo la tezi dume kwa asilimia flani
Husaidia kupata watoto kwa wanandoa
Kupunguza kupata kisukari kwa kiwango flani
Huwasaidia watu wasio pata usingizi kupata usingizi
Je niwakati gani unashauriwa kufanya tendo la ndoa kama ilivyo kawaida mtu akisikia kiu ya maji hunywa kwa wakati anapojisikia kiu
Hufanyika muda wowote pale wanandoa wanapo huwa na kiu ya kushiriki
Kiafya unashauriwa kwa wanandoa kufanya angalau mara ngapi?
Mara tatu kwa wiki na unaruhusiwa kufanya Kila siku
Madhara
Kusababisha msongo wa mawazo
Huleta mgogoro wakimahusiano kwa wanandoa
Huleta chuki ya kufanya tendo la ndoa na kuharibika kwa ndoa
Kukosa watoto
Hupoteza hamasa ya tendo kwa wanandoa
Ahsante
Post a Comment