Header Ads

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume











Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume

Kila mtu angependa kuwa na watoto ingawa kila mzazi hupenda apate mtoto kwa wakati muafaka au muda maalumu atakapokuwa tayari kwa ajili ya mtoto. Wakati mtu anapanga kuwa na mtoto ni wakati mzuri sana katika maisha na unatakiwa kuwa ni wakati uliokubalika kwa wazazi wote wawili kuamua kuwa ni kipindi cha kuwa na kulea mtoto

Ili kuepuka mimba zisizotarajiwa wanawake wengi huamua kutumia vidonge vya kuzuia ujauzito (Vidonge vya uzazi wa mpango/majira). Vidonge hivi huwa na madhara mengine mabaya hapo baadaye vikitumika kwa kipindi kirefu.




















Zipo dawa za asili kadhaa nyingi zaidi ya 20 ambazo zinaweza kutumika kama njia za kuzuia ujauzito usiotarajiwa bila kukuachia madhara yoyote mabaya.  Dawa hizi ama zinazuia urutubishaji wa yai moja kwa moja au huweza kukusababishia kuona siku zako na hivyo kuondoa uwezekano wa kuwa mjamzito.

Nimekuandalia dawa asili nne kwa ajili hii ambazo nimeona zinapatikana kirahisi mazingira ya hapa kwetu Tanzania na ufurahie maisha yako ya ndoa bila kuwa na wasiwasi.

Mhimu:  Kama itatokea umepima na kugundulika ni mjamzito basi usizitumie dawa hizi kwani inaweza kupelekea kuharibika kwa huo ujauzito (miscarriage).

Dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume

1. Papai











Mbegu za Papai pia ni dawa nzuri ya uzazi wa mpango kwa upande wa wanaume. Zinachofanya mbegu za papai ni kupunguza idadi ya uwingi wa mbegu za mwanaume (sperm count) na zinaweza kushuka mpaka kufika sifuri (zero sperm count) na hivyo mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutungisha mimba. Ukihitaji kuzaa tena unaacha tu kuzitumia na hali yako itarudi kama kawaida. Kula mbegu za papai kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

Unaweza kuanza zoezi hili wiki 3 kabla hujaamua rasmi kama ndiyo dawa yako ya uzazi wa mpango.

Watu wa bara la Asia wamekuwa wakitumia mbinu hii tangu miaka mingi iliyopita. Dawa hii haina madhara yoyote.

Na hizi zifuatazo ni dawa za uzazi wa mpango kwa upande wa wanawake;

2. Mbegu za Nyonyo

Watafiti katika chuo kikuu cha Kano State College of Arts, Science and Remedial Studies cha Nigeria wamethibitisha kuwa mbegu za nyonyo zinaweza kutumika kama dawa ya uzazi wa mpango. Mbegu za nyonyo zinatumika kwa miaka mingi nchini India kama dawa ya uzazi wa mpango.

Unachotakiwa kufanya ni kunywa na maji mbegu 4 mpaka 5 kwa siku kila siku wakati wa siku zako na zitakupa kinga ya uzazi wa mpango karibu kwa mwaka mzima. Menya ganda lake la nje kabla ya kumeza.

Siku mbili au tatu za mwanzo za kutumia unaweza ukapatwa na kutokujisikia vizuri, pumzi fupi, vipele (rashes), kizunguzungu kidogo, kutapika au kuharisha nk lakini baadaye hali itatulia.

3. Tangawizi









Tangawizi huhamasisha kutokea kwa siku zako. Kunywa vikombe vitatu mpaka vinne vya chai ya tangawizi kila siku ili kuzuia ujauzito. Chota kijiko kidogo kimoja cha chai cha unga wa tangawizi na uweke ndani ya maji ya moto kikombe kimoja (robo lita/ml 250) na unywe yote (unaweza kuongeza asali kidogo kupata radha). Fanya zoezi hili kutwa mara 3 mpaka mara 4 kwa siku 5 tangu ufanye tendo la ndoa bila kinga. Unaweza pia kutumia tangawizi mbichi kwa matokeo mazuri zaidi.

4. Kotimiri (Parsley):

Kotimiri inapatikana kirahisi Dar Es Salaam na Zanzibar na ni kiungo mhimu kwenye mahoteli mengi ya kitalii. Kunywa kikombe kimoja (robo lita/ml 250) asubuhi na jioni cha chai iliyoandaliwa ukitumia kotimiri mbichi kila siku ili kuzuia ujauzito usiotarajiwa. Hakuna madhara yoyote mabaya ya matumizi ya dawa hii.

5. Vitamin C











Vitamini C ikitumika katika hali yake ya uasili kabisa inaweza kutumika kama dawa ya uzazi wa mpango.  Kwenye vitamini C kuna ‘ascorbic acid’ ambayo huzuia homoni inayouandaa mji wa uzazi (‘progesterone hormone’) kushindwa kufanya kazi zake vizuri na hivyo mimba kukosa mahali pa kukaa baada ya yai kurutubishwa.

Meza viponge vya vitamini C mg 1500 mara mbili kwa siku mbili mpaka tatu baada kushiriki tendo la ndoa bila kinga. Vitamin C ni nzuri pia kwa ngozi yako.

Mhimu:

1) Usitumie kiasi kingi sana cha vitamini C kwani inaweza kupelekea mwili wako kutokuwa sawa au unaweza usijisikie vizuri katika mwili wako.

2) Usitumie vitamini C kama unatumia dawa za kuzuia damu kuganda (anti-coagulant medications).

3) Usitumie vitamini C kama una tatizo la sickle cell (sikoseli).

Kumbuka kuwa makini mara zote, na wewe fanya utafiti binafsi pia.

Kama una swali lolote au unahitaji ushauri zaidi niulize hapo kwenye comment nitakujibu

Kuna dawa yoyote ya uzazi wa mpango ya asili umeitumia na kukuletea matokeo mazuri? tutajie hapo kwenye comment kwa faida ya wengine.











Kama utatumia mojawapo ya hizi dawa nilizozitaja hapa na ukapata matokeo mazuri naomba ushuhuda wako hapo kwenye comment kwa ajili ya wengine.

WhatsApp 0684127127,0765896355
Facebook page Welfare jambo au well jambo

No comments

Powered by Blogger.