Header Ads

Kwa mnao sumbuliwa na mabaka, madoa kwenye ngozi tiba iko hapa hufanya ngozi kuwa na rangi moja

Leo ningependa nizungumzie bidhaa iitwayo   Optimals white

 



Ni maalum kwa mtu Mwenye mafuta usoni yaani (Oil skin) pia ni kwa mtu Mwenye umri wowote ule!

Optimals ni set ya product 4
Ambazo ni
Cleanser
Toner
Day cream
Night cream

 
Cleanser ya optimals
Hii inasidia kuondoa vumbi ,uchafu wa Siku nzima ulio piata usoni na kutoa make up uliyo paka Siku hiyo..! Na kucha uso wako msafi na kuzibua matundu iili  ngozi ipumue

Toner ya optimals

Hii inatoa  uchafu ulio baki na kuziba matundu ya ngozi yako  sasa hapa kama unachunusi au mafuta toner inafyonza mafuta hayo na kukausha ...,pia tukumbuke kuwa sio siku Hiyo hiyo chunusi zinakauka na kuondoka Hapana ..endelea kutumia na utaona matokeo

Kabla ya kutumia 
     Unatakiwa kuitikisha toner yako kabla hujatumia  ili ichanganyikane vizuru

 Day cream ya Optimals

Hii inasaidia kulinda  ngozi yako kutokana na mazingira ikiwa jua,baridi  kwa sababu mazingira na stress ndio vinaharibu ngozi.

Pia ina lightening kwahiyo inakupa  mg' ao amazing ( radiant colour)
N:B haichubui.

 Night cream ya Optimals
Hii inasaidia kulisha  ngozi yako wakati wa usiku.

Pia ina I boost ngozi yako na kuilisha  Chakula maana bidhaa hizi ni za asiili

 Ukitaka kumpa Mteja wako hakikisha ana oil skin!

 Tea tree product!
Bidhaaa za love nature hizi ziko asilii mnoooo ni kwaajili ya oil skin ( mtu Mwenye mafuta)

 Umri wa aina yoyote ile anaafaa kutumia hizi bidhaa

Hizi tea tree Mara nyingi Zina wakaa  vizuri watu ambao ni sensitive skin..! Na kuna Wengine waki tumia ambao ni oil tuu wana tutumuka zaidi...hii bidhaa ipo selective sana ..ndio maana kuna umuhimu wa kumpima mtu ngozi....!!

 Anatutumka kwa nini????
Kwa sababu chunusi zake zipo ndani na nje ...au tuna sema zimeanzia ndani ni other way ..

Kwahiyo za ndani zinatoka sasa !! Hapa mtu ikitokea  hivi asiaçhe kutumia tena ndio itaenda  kumkaa  vizuri zaidi maana itamaliza tatizo lote.

Kuna watu huwa wana wapa watu waliotumia cream Kali teatree sababu tuu anangozi ya oil ...!!
Mpe love nature alovera maana ile itapoza ngozi yake hata kama ni oil kwa sababu ina balance and generate.

Cleansing gel
Hii ina toa uchafu kama kawaida na make up za Siku nzima.

Face toner
inasaidia kuziba matundu na kuandaa ngozi kupata kitutubisho kingine,

 Face lotion
Hii pia inasaidia ku balance ngozi yako na kukupa Mwanga  kuimalisha ngozi yako.

 Badilisha mwonekano wa ngozi yako kwa kutumia bidhaa zetu

Tunakuhudumia popote pale ulipo
Mawasiliano
WhatsApp 0684127127
                    
Facebook page .Afya daily
Instagram. Mr.welfare

No comments

Powered by Blogger.