Header Ads

Unasumbuliwa na chunusi na mabakamabaka yasiyoisha kwa muda mrefu ?







Watu wengi wakiwemo wa Dada au mabinti na watu wazima wamekuwa na tatizo la kutoka na vichunusi pamoja na vipele usoni pamoja na sehemunzingine za mwili kwa muda mrefu.
Na wengine wamekuwa wakitumia kemikalinza Kila aina ambazo ni hatari kwa Afya ya ngozi zao bila mafanikio ya aina yoyote na matokeo yake ni kuharibu ubora wa ngozi zao .




Mbali na kuharibu ngozi wameongeza tatizo juu ya tatizo na matokeo yake ni kuwa na uso  usio vitia na kupelekea kukosa furaha na kujificha sababu ya uso  kuwa na chunusi na mabaka ambayo yameharibu urembo wao 




Hujachelewa wewe Dada ,mama , hata wakiume.
Oriflame inakuletea bidhaa zenyewe ubora na uhakika kwa akili ya ngozi yako zilizotengenezwa kwa mimea asilia (love natural)

Hazina kemikali inayo weza kuharibu ngozi yako
Hazichubui ngozi yako




Utumiapoa bidhaa za oriflamu zitakutakatisha ngozi yako na kuondoa mabaka na chunusi sugu na kukuacha mwenye uso  safi na mrembo
Tumia love natural kwa ubora na urembo wa uso, na ngozi yako kwa ujumla





No comments

Powered by Blogger.