Header Ads

Mchachuko sehemu ya 20

MCHACHUKO…..(20)
MTUNZI…EMMANUEL F. KWAY
Contact..+256756 322432
AGE…(18+)
ILIPOISHIA
“Adrian nita fute kwenye simu kuna mambo nataka kuongea nawewe mimi nina haraka sana sasa hivi Romi jones ananisubiri hapo nje”
“lazima nikutafute tena leoleo kabla hujaondoka”
Nassibu aliaga kisha kuondoka zake,
Kabla ya Adrian kukaa sawa Fiona alimfuata midomoni na kuanza kumlamba mdomo wake na hapo hapo kuanza kubadilishana mate wakilana denda sababu tu ya furaha aliyokua nayo mwanamke huyo.
SONGA NAYO.

“Fiona kaingia humo ofisini kwa Adrian!”
“sasa mimi naanzisha Mura, naanzisha vita Murah nipe panga Mura, Mura vita ni vita Mura chaa!”
“utaharibu sasa Zackaria mshkaji wangu, unafanya fujo ofisini kwa watu, utafungwa alafu jamaa ana pesa utaishia kubaya”
“Mura mimi nita mkata shingo yake ninywedamu yake”
Yalikua ni maneno ya kutisha kutoka kwaZackaria mwanaume wa kikurya huku mkononi akiwa ameshika panga akiwa na rafiki yake wamepaki gari njee ya jengo la PPF TOWER  baada ya kumfuatilia Fiona na kumuona kaingia ofisini kwa Adrian,
Maneno aliyokua akiyaongea hayakua na masihala hata kidogo ndani yake maana alikua teyari amekasirika kupita kiasi, na kutaka kushuka ndani ya gari lakini alizuiwa.
Walitulia kidogo na kumuona Fiona akiingia ndani ya gari la Adrian na baadae Adrian kufuatia nyuma yake kisha gari hiyo kuanza kuondoka,

hawakutaka kupoteza muda na wao waliwafuata nyuma taratibu sana, walipokunja na wao walikunja kona mpaka walipofika Malapa buguruni na kuegesha gari kwenye gest iliyoandikwa GR gest house na wote kushuka huku wakiwa wameshikana kimahaba na kumfanya zakaria azidi kuchanganyikiwa kweli alimpenda sana mwanamke wake na alidhamiria kuua mtu siku hiyo.
“mmhbaby”
Aliguna Fiona baada ya Adrian kumtekenya nyonga yake na kuruka kidogo wakiwa mapokezi wana subiri wakabidhiwe funguo za chumba.
“kumbe zipo eeh?”
“kibao tu leo nataka uzitoe zote”
Hawa kuelewa nyuma wana windwa na wenda hiyo ndiyo ilikua siku yao ya mwisho kuishi duniani, walitembea mpaka ndani ya chumba baada ya kufika tu Adrian alimvuta kiuno Fiona na kumpelekea mdomo na kufungua kinywa chake na kupeana ndimi zao wakilana denda huku mkono wa Adrian ukiwa ume tulia nyuma ya kalio la Fiona lililo kuwa kubwa kiasi lakini sio sana,

walivutana vutana mpaka juu ya kitanda puu! Na Adrian kufuatia juu yake huku bado wakiendelea kugusanisha ndimi zao baada ya sekunde chache Adrian aliipandisha topu ya Fiona juu na kupitisha                                                                                                                                    mikono yake nyuma ya mgongo wa binti huyo na kupachua blazia aliyovaa na kufanya kifua cheupe cha Fiona kionekane,
hakuna kitu kingine kilicho mtuma hapo zaidi ya kufakamia maziwa na kuanza kuyanyonya taratibu sana na kumfanya Fiona aanze kutoa miguno ya rahasana mambo yakawa skelewu kwake nayeye hakutaka kuonekana mzembe taratibu aliingiza mikono yake laini ndani ya suruali ya Adrian ambayo kwenye zipu kwa mbele ilikua imetuna sana kisha kutoa AK 47 ya nguli huyo na kuanza kuipapasa huku akiichua taratibu sana,
Hapo ndipo Adrian nayeye alianza kushusha mkono wake mpaka kwenye ikulu ya mrembo huyo ila alihisi kitu kigumu alikigusa gusa na kutulia kidogo.
“upo piriodi?”
Aliuliza Adrian
“ndio!”
“sasa mbona hukuniambia?”
“tuendelee ivyo ivyo Adrii jamani”
“No siwezi siku nyingine,”
Fiona alimvuta vuta Adrian lakini hakuweza kukubali tena hakutaka kuendesha gari huku ikiwa sevisi, alikumbuka alishawahi kufanya ivyo siku moja akaumwa sana. Alifunga zipu yake na kukaa kitadani.
“naenda kuchukua msosi nje nakuja”
Alizungumza Adrian na kumuacha Fiona akiwa hana nguo ya juu bado kisha kutoka zake nje alitembea mpaka nje na kushangaa kuona kuna gari lime paki nyuma ya gari lake ambalo lilimzuia asiweze kutoka,
alipiga hatua mbili na kumuona rafiki yake zakaria anashuka upande wa kushoto huku akifunika panga lake kwenye shati vizuri, ilibidi ageuke haraka na kujificha kwenye kibanda cha chips na kumshuhudia anaingia ndani ya gest hiyo aliyomuacha Fiona ndani,
“mmmh”
Aliguna na kushindwa kuelewa alitembea taratibu nyuma yake na kumuona akiongea na dada wa mapokezi na kumtolea panga huku akimtishia kumuuwa,
Baada ya dakika chache aliambiwa chumba alichokuwepo Fiona na kuanza kwenda alitembea kwa kuogopa huku akienda nyuma yake.
Mpaka alipofika chumba alichokuwemo Fiona na kuingia kisha kutoa panga lake yote Adrian alishuhudia.
“Malaya wako yuko wapi?”
Aliuliza Zakaria baada ya kumuona Fiona hana nguo ya juu na kunyoosha mpaka bafuni na kumkosa Adrian, hata Fiona alishindwa kuelewa na kuanza kuogopa.
“Malaya we..we! mwe..nza..ko yuko wa..pi?”
Alizidi kuuliza zakaria huku akipandisha hasira zake na kuanza kuongea lugha ya kwao
“Malaya gani? mimi mbona sikuelewi zakaria, embu acha utoto wako bwana”
Laiti angelijua wala asingemjibu nyodo mwanaume aliyekua mbele yake mwenye hasira kama simba aliyejeruhiwa na mkuki tumboni,
yeye mwenyewe alimshuhudia anaingia na Adrian ndani ya hiko chumba kisha anamuuliza Malaya gani,kichwani alichukulia ile ni dharau,
Hakutaka kujiuliza mara mbili mbili aliinuka na panga na kulivuta juu kwa nguvu zote na kulishusha juu ya kichwa cha Fiona pale pale kili kua ni kitendo cha ghafla alipandisha tena panga juu na kuanza kumcharanga.
“Duuu!”
Alihamaki Adrian akiwa mlangoni huku akiwa anatetemeka sana  baada ya kushuhudia kitendo cha kinyama baada ya kumuona Fiona anavyokatwa kama nyama buchani na kumfanya Zackaria ageuke huku akiwa amelowa damu nyingi mwilini mwake .
Adrian Alivyotaka kukimbia aliteleza na haraka haraka kuinuka tena mbio alizotoa hapo ni kama swala aliyekua anakimbizwa na simba
Aliteleza tena na kudondoka chini alivyoangalia nyuma alimuona zakaria anakuja na panga mbio mbio usawa wake, hapo ndipo alipogundua kuwa mkurya huyo hana masihala na angefanya masihala angepoteza uhai wake mara moja hapo hapo.
Alisimama na kuchomoka tena kama mkuki wa kimasai mbio nje bila kugeuka nyuma watu waliowaona waliwashaangaa alikimbia huku akiomba msaada !.
Alidandia boda boda na kumwambia dereva huyo aondoshe usafiri huo haraka haraka sana aligeuza shingo yake nyuma na kuona zakaria amezungukwa na watu wengi huku polisi wakiwa teyari wamefika eneo hilo.
“wapi blaza?”
Aliuliza dereva wa boda boda
“embu embu embu nipeleke Tegeta nyumbani kwangu”
“kwako mimi sipajui”
“twende tegeta”
Alijibu Adrian huku akiwa ana hemasana juu juu ilibidi tu dereva huyo aanze kumuhoji nini kilimkumba mpaka akawa anakimbizwa.
Ilibidi tu Adrian amuelezee kwa ufupi nakumfanya dereva huyo ashangae sana na kumuonea huruma.
“yaani shukuru Mungu, hao wakurya sio wa kuchezea kabisa, yaani shukuru Mungu umepona blazza, na angekuua kweli, una muibia mkurya mwanamke wake ooohoooooo, yaani blaza mimi nilishawahi kumshuhudia mkurya anamkata kata mwanae kisa tu alipewa mimba shule”
Alizidi kuongea dereva huyo bila kujua akili ya Adrian ilikua mbali bado anawaza yaliyokua yakitokea muda mchache uliopita, ilikua afe yeye isingekua kutoka nje au kughairi kufanya ngono na mwanamke huyo ilikua ni lazima sasa hivi angekua ametenganishwa.
Alifika nje ya geti lake huku akiwa anahema sana na kugonga mlango na kimti kumfungulia geti.
“tajiri chombo umeacha?”
Aliuliza Kimti huku akichungulia nje ila Adrian hakujibu na kunyoosha mpaka ndani na kujitupa juu ya sofa akiwa hana raha hata kidogo,
Hakukaa sana alihisi geti lina pigwa kwa nguvu sana tena kwa fujo nyingi na kufanya hofu izidi kumtanda sana huku akitafuta njia ya kutokea.

ITAENDELEA.........

(kwa story nyingi fuata hii link www.facebook.com/

No comments

Powered by Blogger.