Header Ads

Namna ya kumwamdaa mwanao (mtoto) kuwa na upeo (akili)





Namna ya kumfanya mwanao awe na upeo makubwa (akili) 
 Ubongo (Afya ya ubongo)




Unaweza kumfanya mwanao awe smart kwa chakula tu! kuna vyakula vinarutubisha ubongo kuliko vingine,  sasa ukivikazania hivyo utakuta mwanao anakua smart kuliko wengine wasiokula vyakula hivyo.
      Siri iko kwenye kifungua kinywa!
wataalam wanasema kazi yake si kufungua kinywa tu, hata ubongo unafunguka. Tafiti zinaonyesha kuwa watoto wanaopata kifungua kinywa wanafanya vizuri kwenye test za kuangalia attention na kumbukumbu, kuliko wale wasiopata kifungua kinywa. Na wote tunajua, attention ya darasani ndio inamfanya mtoto aelewe, kumbukumbu ndio inamfanya afanye vizuri kwenye mtihani au hata application ya vitu alivyojifunza baadae. So bila hivyo vitu viwili mtoto kufanya vizuri darasani si rahisi.

      Kwa nini kifungua kinywa?



Kwa sababu chakula ndio mafuta ya miili yetu, sasa mtoto anaamka mafuta yamepungua, inabidi ajaze tank lake (tumbo)ili kila kitu kiende sawa,pamoja na ubongo(brain) yake.
Ila sio kila chakula kina matokeo sawa. Lakini kitu chochote ni kizuri zaidi ya kingine, maana watoto wengine wanachagua sana vyakula.

Baadhi ya vyakula vya kurutubisha ubongo:
  1.Peanut butter (siku hizi zinapatikana sana, mini market yeyote unapata)
   2.Mayai
   3.Ndizi mbivu
   4.Maziwa
   5.Mtindi
   6.Asali (unaweza kuipaka kwenye mkate)




Je ni umri gani Basi uanza kufundisha mwanao 
  Muda wa kwanza kumfundisha na kumwandaa mwanao  kuwa na akili au upeo mkubwa  hata darasani ni wakati wowote inategemea upeo wako na uwezo wako na jinsi gani unahitaji mwanao awe hapo baadae au darasani
Unafanya nini Basi?
   Jinsi ya kufanya:
Kuwa na muda na mwanao /ratiba wa kumwelekeza mwanao vitu unavyotaka avifahamu kwa umri wake kupitia njia ya kucheza nae 




Mfanye mwanao awe mwenye furaha (tabasamu) muda mwingi usimwonye hali ya kukasirika .kumbuka unachokifanya were mzazi ndivyo na yeye anajifunza kama mzazi Utakuwa ni wa kugomba gomba muda jicho kinajengeka kwa mtoto 
Ahsante

No comments

Powered by Blogger.